Nimeshayatumia, yamenisaidia, napenda na wewe yakusaidie pia.Kwann ww usitumie hyo misingi ukafanikiwa? unahangaika kuuza vitabu hp huwa nawashangaa sana nyie maspeaker!
Ndiyo, kitakusaidia kuongeza kipato chako kwa kuwa na kitu cha pembeni kinachoingiza kipato na kuacha kutegemea mshahara pekee.Mshahara ni haki yetu..halafu kila mtu na maisha yake acha tupambane na hali zetu..kwa hiyo hicho kitabu ndo kitatuongezea mshahara ama..?
Karibu ujipatie kitabu mkuu,HAWA JAMAA NI WAZEE WA FURSA BALAA.
WEWE MWENYEWE UMESHAJUA KUWA NI TAREHE ZA MSHAHARA NA MAPEMA UMEANZA KUNADI BIDHAA YAKO KWA MANENO LAINI YA KUPATA UTAJIRI.
20,000 X 50= 1,000,000 KIWANGO CHA CHINI
MAMBO YA FEDHA!
Dr. Makirita Amani ni
1-Daktari wa Binadamu,
Kumbuka kuwa kuna madaktari wenzako wanasubiri mishahara na hufikia wakati wanagoma kutoa huduma wakidai nyongeza ya mishahara. Ingekuwa vema ungeanza nao ili tuone matokeo chanya ya maarifa ya kifedha unayotuaminisha kwa ku-copy na ku-paste ukibadili lugha tu toka vitabu vingine vya mataifa yaliyoendelea ambayo sera zao za kiuchumi zinatoa fursa ya mafanikio kwa mbinu tajwa..
2-Kocha wa mafanikio,
Wewe mwenyewe bado unayasaka mafanikio
3- Mwandishi na
Umetumia zaidi ya miaka sita kuupata udaktari hivyo nategemea utakuwa unafanya vema pia katika vitabu na machapisho ya fani yako
4- Mjasiriamali.
20,000x Idadi ya watamani utajiri= Pochi nene
😂😂😂😂😂😂😂Karibu ujipatie kitabu mkuu,
Kama ukilipa elfu 20 na ndani ya mwaka hujapata thamani ya mara kumi ya fedha uliyolipia kitabu,basi nijulishe na nitakurejeshea fedha uliyolipa,
Ninayaamini sana mafunzo yaliyo ndani ya kitabu hiki na nina uhakika na shuhuda nyingi kwangu binafsi na kwa wengine waliokuwa kwenye changamoto kubwa kifedha na yamewasaidia sana, kama kuondoka kwenye madeni, kukuza kipato na kadhalika.
Pata nakala yako ili unufaike pia, piga simu 0678 977 007.
Nakuahidi kama hakitakusaidia nijulishe na nitakurudishia fedha yako.
Muuzaji vitabu mwenyewe unakuta kapigika na maisha. Jua kali kapiga tai hata hela ya maji hana. Anabwabwaja akimaliza hata wa kununua hicho kitabu gari zima hakuna.Siku moja nikiwa natoka gongo la mboto nakuja town akapanda mtu mmoja anauza Vitabu kama hivyo vya biashara na matumizi ya mshahara, jinsi alivyokuwa anaqashambulia wafanyakazi na yeye alivyo in tofauti kabisa, hivyo Vitabu kwanini visiwasaidie kwanza nyie mnaoviuza maana mmechoka mbaya lkn mnawashambulia wafanyakazi, hivyo kabisa kuelezea kitu ambacho ht wewe kimekushinda au hukiwezi kabisa
Acha kubeza kazi za watu wewe! Ni nchi gani hapa duniani hakuna watu wanaolipwa mshahara? Unataka kila mtu awe mjasiriamali hizo kazi nyingine afanye nani. Ndiyo maana hapa duniani kuna mgawanyo wa kazi, hatuwezi wote au wengi kufanya kazi moja tu. Wewe kama lengo lako ni kuuza vitabu ungeenda streiti tu ze point siyo kwa kuanza kudharau kazi za watu wengine. MIMI NADHANI INGEKUA BUSARA KAMA UNGEWAHIMIZA ZAIDI VIJANA WANAOKAA VIJIWENI KUSOMA HIVYO VITABU ILI WAPATE FURSA ZA KU-MAKE MONEY! Unakuja kwa dharau halafu mwisho wa siku unaomba omba mchango kwa hao hao unaowadharau. NYAMBAFU ZAKO!Hili ni swali ambalo huwa naona watu wakiulizana mitandaoni kila zinapofikia tarehe za mishahara, yaani tarehe 22 mpaka 25 za mwezi.
Ikitokea mshahara umechelewa hata simu moja tu, malalamiko yanakuwa mengi sana. Unajua kwa nini unakuwa umefulia kila zinapokaribia tarehe za mshahara?
Unajua ya kwamba umejichagua kuwa wakala wa mshahara wako, unaupokea na kuwalipa wengine, huku wewe ukibaki mtupu?
Kwenye kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA unakwenda kupata maarifa sahihi ya kukuondoa kwenye huo utumwa uliopo sasa, wa kuwa wakala wa fedha zako mwenyewe.
Soma kitabu hiki na utaweza kupata maarifa sahihi ya kifedha, yatakayokutoa kwenye madeni, kuongeza kipato chako na kukupa uhuru.
Pata kitabu leo kwa kupiga simu 0678 977 007. Karibu sana.
View attachment 1187235
Kwann ww usitumie hyo misingi ukafanikiwa? unahangaika kuuza vitabu hp huwa nawashangaa sana nyie maspeaker!

Habari Mkuu,Acha kubeza kazi za watu wewe! Ni nchi gani hapa duniani hakuna watu wanaolipwa mshahara? Unataka kila mtu awe mjasiriamali hizo kazi nyingine afanye nani. Ndiyo maana hapa duniani kuna mgawanyo wa kazi, hatuwezi wote au wengi kufanya kazi moja tu. Wewe kama lengo lako ni kuuza vitabu ungeenda streiti tu ze point siyo kwa kuanza kudharau kazi za watu wengine. MIMI NADHANI INGEKUA BUSARA KAMA UNGEWAHIMIZA ZAIDI VIJANA WANAOKAA VIJIWENI KUSOMA HIVYO VITABU ILI WAPATE FURSA ZA KU-MAKE MONEY! Unakuja kwa dharau halafu mwisho wa siku unaomba omba mchango kwa hao hao unaowadharau. NYAMBAFU ZAKO!
Nmekupenda bureHAWA JAMAA NI WAZEE WA FURSA BALAA.
WEWE MWENYEWE UMESHAJUA KUWA NI TAREHE ZA MSHAHARA NA MAPEMA UMEANZA KUNADI BIDHAA YAKO KWA MANENO LAINI YA KUPATA UTAJIRI.
20,000 X 50= 1,000,000 KIWANGO CHA CHINI
MAMBO YA FEDHA!
Dr. Makirita Amani ni
1-Daktari wa Binadamu,
Kumbuka kuwa kuna madaktari wenzako wanasubiri mishahara na hufikia wakati wanagoma kutoa huduma wakidai nyongeza ya mishahara. Ingekuwa vema ungeanza nao ili tuone matokeo chanya ya maarifa ya kifedha unayotuaminisha kwa ku-copy na ku-paste ukibadili lugha tu toka vitabu vingine vya mataifa yaliyoendelea ambayo sera zao za kiuchumi zinatoa fursa ya mafanikio kwa mbinu tajwa..
2-Kocha wa mafanikio,
Wewe mwenyewe bado unayasaka mafanikio
3- Mwandishi na
Umetumia zaidi ya miaka sita kuupata udaktari hivyo nategemea utakuwa unafanya vema pia katika vitabu na machapisho ya fani yako
4- Mjasiriamali.
20,000x Idadi ya watamani utajiri= Pochi nene
Na wewe uajiriwe ili upate kipato cha pembeni.Ndiyo, kitakusaidia kuongeza kipato chako kwa kuwa na kitu cha pembeni kinachoingiza kipato na kuacha kutegemea mshahara pekee.
Karibu sana ujipatie kitabu hiki,
Piga simu 0678 977 007 kupata kitabu.
Huo msingi si ndo ameutumia kuuza kitabu chake...au wewe unadhani huo msingi ni kuingiza fedha bila kazi!Kwann ww usitumie hyo misingi ukafanikiwa? unahangaika kuuza vitabu hp huwa nawashangaa sana nyie maspeaker!
Umejuaje kama jamaa kachokaSiku moja nikiwa natoka gongo la mboto nakuja town akapanda mtu mmoja anauza Vitabu kama hivyo vya biashara na matumizi ya mshahara, jinsi alivyokuwa anaqashambulia wafanyakazi na yeye alivyo in tofauti kabisa, hivyo Vitabu kwanini visiwasaidie kwanza nyie mnaoviuza maana mmechoka mbaya lkn mnawashambulia wafanyakazi, hivyo kabisa kuelezea kitu ambacho ht wewe kimekushinda au hukiwezi kabisa
Timing yako mbovu sana, watu wanashida na hela wewe unaleta maneno. Subiri pesa iingie maana lengo lako ni kuuza kitabu chako.Hili ni swali ambalo huwa naona watu wakiulizana mitandaoni kila zinapofikia tarehe za mishahara, yaani tarehe 22 mpaka 25 za mwezi.