Umeona eee!Kipenga kimelia sasa. Dadaadeki
Umetoka KwanKipenga kimelia sasa. Dadaadeki
Mkuu mi najuaje? Wapi na wapi!!Umetoka Kwan
Una jirani yako au we mwenyewe maisha yashakukaba?Nina jirani yangu Mwl jioni hii anataka kanikopa 100,000/= ili arudishe kwa riba nafui atakapopata mshahara wa Agosti. Sijajua kama ni utapeli au ni kweli haujatoka kwa vile nilisikia siku hizi mishahara ni kati ya tarehe 19 na 20. Naombeni ukweli mnaojua ukweli kama ni bado au la ili nichukue maamuzi.
Una jirani yako au we mwenyewe maisha yashakukaba?
Kumbe we jamaa ni Mtumishi wa Umma? Ndio maana unailalamikia Loan Board, hivi ukikatwa rejesho la mkopo unabakiwa na kiasi gani? Tujadili.Mshahara unatoka ijumaa mkuu, maana ukitoka kati kati ya wiki watu watalewa na kushindwa kuja kazini... So salary bado...
Hiyo itakuwa shule ya kataHaki ya Mungu watumishi tuna hali mbaya! HApa kibaruani kwangu wametenga bajeti ya chai ya Staff, majani chai, sukari, jiko vipo kimbembe ni vitafunwa maana kila mtu inabidi ajinunulie...tarehe 25 hadi 15 ya mwezi meza za tea room zinachafuka....tarehe nyingine watu wapo "bize" sana hakuna muda wa kunywa chai! Na bado mtu anaanzisha uzi humu akiuliza kwanini majeruhi wa ajali ya moto waliopelekwa Muhimbili karibia 80% wamekufa!
Watu wanatumia third party kumbe ni wenyewe.Una jirani yako au we mwenyewe maisha yashakukaba?