Maajabu Ya Mwaka Yametokea Baada Ya Mishahara Kutema Tar21.Kwanini siku zote hawafanyi ivo? kumbe ni dharau tu yanawezekana kipindi kigumu.ha ha haa ni xshider.
Walimu ni kada iliyobaki ya watu wasiojitambua hujalipwa madai yako leo waakuletea posho 21 mmefurahi sana subirini cha moto toka kwa mpiga push up bora ya mkwere alikuwa na lugha laini huyu ni balaa mtalia sana walimu wangu msidanganywe kwa peremende kisa uchaguzi jiokoe wewe na familia yako magari 777 yangetosha kulipa madeni yenu poleni walimu.
kuna mtu amesema wlm hatujitambu ni mtazamo wake lkn ajue mshahara tunaopokea ni halal yetu hatuvunji sheria wala hatuwez kuacha kuchukua mshahara wetu kwa hisia zako za kisiasa hata siku moja....hlf ujue ss wlm hatuli kwako au kwa ccm au cdm ni vema ukafunga domo lako hii ni pesa yangu nimeisotea kwa jasho langu mwenyewe hakuna alinisaidia kati ya ccm na cdm
alafu presidaa million 400 hakatwi chochote na full allowances ..,...
mali zimetunzwa na bibi na babu zetu
ifike mahali zitufaidishe sote sio wajanja wajanja tu
Hadi mwisho wa mwezi si ushaisha?