Mshahara umetoka Tar 21 kwa walimu

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,252
Reaction score
11,926
Maajabu Ya Mwaka Yametokea Baada Ya Mishahara Kutema Tar21.Kwanini siku zote hawafanyi ivo? kumbe ni dharau tu yanawezekana kipindi kigumu.ha ha haa ni xshider.
 
Maajabu Ya Mwaka Yametokea Baada Ya Mishahara Kutema Tar21.Kwanini siku zote hawafanyi ivo? kumbe ni dharau tu yanawezekana kipindi kigumu.ha ha haa ni xshider.

Halmashaur yako huenda ndo itatoa waziri mkuu
 
Walimu mshahara mdogo,hata kama wamewapa tar 21 kura ni ukawa tu msirudi nyuma.
 
Tatizo si mshahara kutoka mapema, ila ni KIASI gani huo mshahara?
PAYE,NHIF,LPF/PSPF,HESLB,CWT/TUGHE,....makato lukuki ..mshahara unazidi kuvaa "kipedo"
 
alafu presidaa million 400 hakatwi chochote na full allowances ..,...
mali zimetunzwa na bibi na babu zetu
ifike mahali zitufaidishe sote sio wajanja wajanja tu
 
Maajabu Ya Mwaka Yametokea Baada Ya Mishahara Kutema Tar21.Kwanini siku zote hawafanyi ivo? kumbe ni dharau tu yanawezekana kipindi kigumu.ha ha haa ni xshider.

bado ww hiyo ni allowance!!
 
Jamani, hayo ni kweli?
Embu watumishi wa Umma tunaomba uthibitisho.
 
maajabu ya mwaka yametokea baada ya mishahara kutema tar21.kwanini siku zote hawafanyi ivo? Kumbe ni dharau tu yanawezekana kipindi kigumu.ha ha haa ni xshider.

acha uongo ww hakuna mshahara wwt
 
Kweli umetoka jana lakn ni upumbavu tu manake kamshahara kenyewe kadogooo na mbaya zaidi hata tuliopanda vyeo hakuna marekebishooo yoyoteeee. This is very fu**ng situation.
 
Maajabu Ya Mwaka Yametokea Baada Ya Mishahara Kutema Tar21.Kwanini siku zote hawafanyi ivo? kumbe ni dharau tu yanawezekana kipindi kigumu.ha ha haa ni xshider.

Mbona matokeo ya darasa la saba hawajayatoa mapema?
 
Dah! mmepewa posho mapema ili muwatendee haki ili msahau haki zenu walimu na nyie mnasahau dhiki ya nyumbani kwa kipande cha nyama cha kwenye sherehe!
 
Ni kweli maana nimeona foleni ndefu bank nilipouliza kwani si kawaida tarehe kama hizi wakaniambia mshahara umetoka!Sasa cha moto ni baada ya uchaguzi maana nina uhakika serikali haina hela na mshahara utachelewa na ikiwezekana watalipwa desemba iwapo ccm itaendelea!Mmeipenda wenyewe mtaisoma namba!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Waliahidi kulipa madeni hamna kitu.... Hata waliopandishwa madaraja hawajalipwa.
Kweli ccm ni Ile ile
 
Hii serikali inadhani walimu ni watoto sana. Mtoto unampiga na kumjeruhi halafu unamnyamazisha kwa peremende.
Mateso ya Walimu ni ya muda mrefu sana, leo hii kura zao zimekuwa mali wanataka kuwarubuni ndani ya masaa machache yaliyobaki. Hovyo kabisa. Walimu si watoto wa peremende.
Hii ni dharau na kejeli kubwa. Wapewe heshima zao. Bila wao wala tusingeweza kutuma au kuchangia hizi posts humu JF
 
Walimu ni kada iliyobaki ya watu wasiojitambua hujalipwa madai yako leo waakuletea posho 21 mmefurahi sana subirini cha moto toka kwa mpiga push up bora ya mkwere alikuwa na lugha laini huyu ni balaa mtalia sana walimu wangu msidanganywe kwa peremende kisa uchaguzi jiokoe wewe na familia yako magari 777 yangetosha kulipa madeni yenu poleni walimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…