Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Aug 23, 2016 #41 mtanzania10 said: me nimecheck nmb mobile mda huu nikaona salio linasoma Click to expand... Aisee boss hebu kua makini kidogo,ungejua tunavyokwepa watu huku kwa madeni ungekua ushaacha maskhara
mtanzania10 said: me nimecheck nmb mobile mda huu nikaona salio linasoma Click to expand... Aisee boss hebu kua makini kidogo,ungejua tunavyokwepa watu huku kwa madeni ungekua ushaacha maskhara
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,575 Reaction score 12,368 Aug 23, 2016 #42 Hizi nyumba za urithi hizi lol
M mtanzania10 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 271 Reaction score 81 Aug 23, 2016 #43 nasmapesa said: Aisee boss hebu kua makini kidogo,ungejua tunavyokwepa watu huku kwa madeni ungekua ushaacha maskhara Click to expand... *150*66# kama umejiunga Na nmb mobile
nasmapesa said: Aisee boss hebu kua makini kidogo,ungejua tunavyokwepa watu huku kwa madeni ungekua ushaacha maskhara Click to expand... *150*66# kama umejiunga Na nmb mobile
Mwasita Moja JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 2,903 Reaction score 2,580 Aug 23, 2016 #44 iparamasa said: Hazina pamekauka....hakuna pesa,zimepelekwa operesheni vunja ukuta,pia bandari imekauka na watalii hakuna Click to expand... Ndicho mlichobakiza waosha viatu wa ufipa
iparamasa said: Hazina pamekauka....hakuna pesa,zimepelekwa operesheni vunja ukuta,pia bandari imekauka na watalii hakuna Click to expand... Ndicho mlichobakiza waosha viatu wa ufipa
DAFU NA NDIMU JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,496 Reaction score 5,099 Aug 23, 2016 #45 Namkimbia mazahousi hadi sasa sijarudi home na simu nimezima. Nikirudi nanyatia ndani halafu kesho alfajiri mwendo mdundo.
Namkimbia mazahousi hadi sasa sijarudi home na simu nimezima. Nikirudi nanyatia ndani halafu kesho alfajiri mwendo mdundo.
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Aug 23, 2016 #46 Mwasita Moja said: Ndicho mlichobakiza waosha viatu wa ufipa Click to expand... idara gani hiyo kiongozi mbona huku kwenye idara yenye rundo la watumishi hakuna kitu hebu niwekeni vizuri isije ikawa mambo ya kipuuzi yale ya hewa
Mwasita Moja said: Ndicho mlichobakiza waosha viatu wa ufipa Click to expand... idara gani hiyo kiongozi mbona huku kwenye idara yenye rundo la watumishi hakuna kitu hebu niwekeni vizuri isije ikawa mambo ya kipuuzi yale ya hewa
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,533 Reaction score 32,757 Aug 23, 2016 #47 mshahara umetoka na nyongeza ya 150,000 kwenye gross salary
Soso J JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 1,976 Reaction score 1,224 Aug 23, 2016 #48 Tayari umetokaaaa
J jjmm JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 1,221 Reaction score 366 Aug 23, 2016 #49 _Iramba said: mkuu,mie nafuatilia ahadi tu!kosa langu nini? Click to expand... Sasa tukikwambia ndio akulipe tafuta wana sheria wakusaidie kuliko kupangia kwenye viroba noma
_Iramba said: mkuu,mie nafuatilia ahadi tu!kosa langu nini? Click to expand... Sasa tukikwambia ndio akulipe tafuta wana sheria wakusaidie kuliko kupangia kwenye viroba noma
N Nwaigwe JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 1,053 Reaction score 915 Aug 23, 2016 #50 iparamasa said: Hazina pamekauka....hakuna pesa,zimepelekwa operesheni vunja ukuta,pia bandari imekauka na watalii hakuna Click to expand... Tafuta nchi nyingine ukaishi mpk Magufuli amalizie muda wake
iparamasa said: Hazina pamekauka....hakuna pesa,zimepelekwa operesheni vunja ukuta,pia bandari imekauka na watalii hakuna Click to expand... Tafuta nchi nyingine ukaishi mpk Magufuli amalizie muda wake
N Nwaigwe JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 1,053 Reaction score 915 Aug 23, 2016 #51 iparamasa said: Serikali imeshindwa kuajiri,imeshindwa kupandisha mishahara,imeshindwa kupandisha madaraja watumishi. Sasa naona hata mshahara itakuwa shida Viwanda hoyeeeeeee!!!!!! Click to expand... Wewe lazima ni mchawi
iparamasa said: Serikali imeshindwa kuajiri,imeshindwa kupandisha mishahara,imeshindwa kupandisha madaraja watumishi. Sasa naona hata mshahara itakuwa shida Viwanda hoyeeeeeee!!!!!! Click to expand... Wewe lazima ni mchawi
N Nwaigwe JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 1,053 Reaction score 915 Aug 23, 2016 #52 nasmapesa said: Aisee boss hebu kua makini kidogo,ungejua tunavyokwepa watu huku kwa madeni ungekua ushaacha maskhara Click to expand... ulizoea posho za dezo na rushwa ndiyo maana. Uliishi maisha feki hayakuwa ya kwak9
nasmapesa said: Aisee boss hebu kua makini kidogo,ungejua tunavyokwepa watu huku kwa madeni ungekua ushaacha maskhara Click to expand... ulizoea posho za dezo na rushwa ndiyo maana. Uliishi maisha feki hayakuwa ya kwak9
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,635 Aug 23, 2016 Thread starter #53 mtanzania10 said: me nimecheck nmb mobile mda huu nikaona salio linasoma Click to expand...
N Nwaigwe JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 1,053 Reaction score 915 Aug 23, 2016 #54 nasmapesa said: idara gani hiyo kiongozi mbona huku kwenye idara yenye rundo la watumishi hakuna kitu hebu niwekeni vizuri isije ikawa mambo ya kipuuzi yale ya hewa Click to expand... eti mambo ya 'hewa ' ya kipuuzi. Hapa ni mawili ninayoyaona toka kwako. Kwanza either ww ni Hewa au mfaidika wa hewa .that's why unaona upuuzi kwa kuwa umeguswa tena vibaya
nasmapesa said: idara gani hiyo kiongozi mbona huku kwenye idara yenye rundo la watumishi hakuna kitu hebu niwekeni vizuri isije ikawa mambo ya kipuuzi yale ya hewa Click to expand... eti mambo ya 'hewa ' ya kipuuzi. Hapa ni mawili ninayoyaona toka kwako. Kwanza either ww ni Hewa au mfaidika wa hewa .that's why unaona upuuzi kwa kuwa umeguswa tena vibaya
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Aug 23, 2016 #55 Nwaigwe said: ulizoea posho za dezo na rushwa ndiyo maana. Uliishi maisha feki hayakuwa ya kwak9 Click to expand... Mkuu, wewe sio mtumishi wa umma, naomba ukae pembeni utuachie mjadala
Nwaigwe said: ulizoea posho za dezo na rushwa ndiyo maana. Uliishi maisha feki hayakuwa ya kwak9 Click to expand... Mkuu, wewe sio mtumishi wa umma, naomba ukae pembeni utuachie mjadala
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,635 Aug 23, 2016 Thread starter #56 mtanzania10 said: *150*66# kama umejiunga Na nmb mobile Click to expand... kumbe!asante kwa kunipa alternative!
mtanzania10 said: *150*66# kama umejiunga Na nmb mobile Click to expand... kumbe!asante kwa kunipa alternative!
Mbingo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 411 Reaction score 230 Aug 23, 2016 #57 Acha utani bana
ifusi Senior Member Joined Jul 8, 2016 Posts 130 Reaction score 124 Aug 23, 2016 #58 _Iramba said: mkuu,mie nafuatilia ahadi tu!kosa langu nini? Click to expand... Nyumba yenyewe ya urithi mfyuuuu
_Iramba said: mkuu,mie nafuatilia ahadi tu!kosa langu nini? Click to expand... Nyumba yenyewe ya urithi mfyuuuu
ifusi Senior Member Joined Jul 8, 2016 Posts 130 Reaction score 124 Aug 23, 2016 #59 DAFU NA NDIMU said: Namkimbia mazahousi hadi sasa sijarudi home na simu nimezima. Nikirudi nanyatia ndani halafu kesho alfajiri mwendo mdundo. Click to expand... nimecheka sana kwani huna mke na watoto??
DAFU NA NDIMU said: Namkimbia mazahousi hadi sasa sijarudi home na simu nimezima. Nikirudi nanyatia ndani halafu kesho alfajiri mwendo mdundo. Click to expand... nimecheka sana kwani huna mke na watoto??
ifusi Senior Member Joined Jul 8, 2016 Posts 130 Reaction score 124 Aug 23, 2016 #60 nasmapesa said: idara gani hiyo kiongozi mbona huku kwenye idara yenye rundo la watumishi hakuna kitu hebu niwekeni vizuri isije ikawa mambo ya kipuuzi yale ya hewa Click to expand... We mwehu kuwa mstaarabu eboo
nasmapesa said: idara gani hiyo kiongozi mbona huku kwenye idara yenye rundo la watumishi hakuna kitu hebu niwekeni vizuri isije ikawa mambo ya kipuuzi yale ya hewa Click to expand... We mwehu kuwa mstaarabu eboo