Mshahara Umeshatoka?

Mshahara Umeshatoka?

Mshahara unatoka kwani ulienda wapi sema Kama unataka viroba kwa watumwa (wafanyakazi)
 
Unatofautiana kutoka kwake, kiuhakika ni kutokana na tarehe makhsusi zilizowekwa.
 
Unatofautiana kutoka kwake, kiuhakika ni kutokana na tarehe makhsusi zilizowekwa.
mkuu,kwaio unatoka ln?maana miezi sita kadhaa iliyopita mpunga ulikuwa unatoka kati ya 22 hadi 26!sasa siku ndio zinayoyoma
 
Back
Top Bottom