Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 727
Alitegemea ataongezewa mwezi huu ,amekuta hakuna kitu hata senti haijaongezeka .
Nimejitahidi sana kumsihi asilie , kwa sasa amenyamaza ,lakini kila nikimuangalia usoni sioni tena kama ana furaha .Sura yake imepoa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] viceversa is trueSi useme tu mkuu kama wewe ndiye uliyelia mkuuuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] viceversa is true
Rebeca 83 , nashukuru kwa mawazo yako mazuri.Mkuu mfungulie kabiashara kengine kadogo afanye, maana yake inaelekea angependa kuwa independent watu kama hawa wakipata kidogo inawa humiliate, asije akajiua Bure mtoto wa watu, lol
Kkkk,aseme kwani anamjua nani humu mpk amsingizie mkeweSi useme tu mkuu kama wewe ndiye uliyelia mkuuuu
Hatunywi sumu hatujinyongi,Hapo Ccm mbele kwa mbelee
Kkkk,aseme kwani anakujua nani humu