Mshahara ulipwe kila wiki ili kusisimua uchumi

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
10,884
Reaction score
18,824
Tuna taizo la kuwa na mzunguko mzuri wa pesa mwisho wa mwezi kisha kukata kwa karibu siku 20. Biashara nyingi zinalala sana katikati ya mwezi.

Kwa sababu watu hawapangi foleni dirishani kuchukua mshahara kwa nini serikali na hata waajiri wengine wasilipe mishahara kwa wiki ili kusisimua uchumi. Kiasi ni kilekile sawa, lakini ni faida pesa ikiwa kwenye mzunguko na kuchochea uchumi badala ya kukaa idle mwezi mzima.
 
Tunataizo la kuwa na mzunguko mzuri wa pesa mwisho wa mwezi kisha kukata kwa karibu siku 20. Biashara nyingi zinalala sana katikati ya mwezi.

Kwa sababu watu hawapangi foleni dirishani kuchukua mshahara kwa nini serikali na hata waajiri wengine wasilipe mishahara kwa wiki ili kusisimua uchumi. Kiasi ni kilekile sawa, lakini ni faida pesa ikiwa kwenye mzunguko na kuchochea uchumi badala ya kukaa idle mwezi mzima.
Inafikirisha
 
Hilo WAZO nimetoka kulifikoria Leo, hususani klabu za mpira simba na YANGA mshahara utolewe KWA wiki ili uchumi WETU ukue
Unafikiri ulaya wanalipa kwa wiki kama wanavyosemaga sijui Haaland anapokea Pound 350k kwa wiki

La Liga wanalipa mara mbili kwa Mwaka yaan mshahara wako wawiki unapigwa kwa miezi 6 wanatia kwenye AC
 
Issue alieanzisha mfumo tulipwe Mwisho wa Mwezi alikosea sana mana tunatabia ya kujifanya kuwa Mwezi una wiki 4 sasa ukija kupiga hesabu unakukuka unapaswa ulipe kila baada ya siku 28 napo tunavyolipwa mara 12 ni tunapunjwa wakuuu

Sijalewa
 
Tuna taizo la kuwa na mzunguko mzuri wa pesa mwisho wa mwezi kisha kukata kwa karibu siku 20. Biashara nyingi zinalala sana katikati ya mwezi.

Kwa sababu watu hawapangi foleni dirishani kuchukua mshahara kwa nini serikali na hata waajiri wengine wasilipe mishahara kwa wiki ili kusisimua uchumi. Kiasi ni kilekile sawa, lakini ni faida pesa ikiwa kwenye mzunguko na kuchochea uchumi badala ya kukaa idle mwezi mzima.
Hii ni idea nzuri
 
Back
Top Bottom