Naomba mnisaidie nifahamu mshahara wa Tutorial Assistant PHTS 4 ni kiasi gani? Pili wafanyakazi wa colleges zilizo chini ya NACTE wanapata fringe benefit zipi?kama house alowance asilimia ngapi na mengine. Tafadhal naombaanaejua anisaidie