Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Kwa hiyo hata mshahara wa Messi, Ronaldo, Guardiola, Jurgen Klopp ni Dawa ya Kulevya? Kuwa makini.Mshahara wowote unaolipa hua ni cocaine iliyowekwa na wajanja kuua ndoto zako...kwahyo kadili unavyo tafuta kampuni ya kukulipa Hela nyingi maanayake unapambana mwenyewe kutumia hii DAWA ya KULEVYA (mshahara) kuua kipaji au ndoto ..tafuta boss mzuri
Well said mkuu, anachokisema na uhalisia wa maisha ni vitu viwili tofauti hasa kwa huku kwetu Africa.Kwenye maisha usipende sana kusikiliza na kufuata shauri za watu, utapotea usiposimamia maamuz yako.
nimekaa streets 5 years bila hiyo unayoita biashara, nimejarib umachinga naona kabisa sitoboi, nimechoma mkaa lkn wapi, nikaenda had mgodin kule kanda ya ziwa nusura nitoe uhai lkn wap.
Nimekuja nimepata ajira, nimeoa kupitia ajira, ninaenda kujenga kupitia ajira, familia inanitegemea kupitia ajira, bank navuta loan kupitia ajira, halafu anakuja mpuzi km huyu anaongea upupu, kuna wana wapo kitaa wanasota wanataman mm nilivyo.
Wewe ungetoa ushaur kuwa tusitegemee mishahara tuwe mbadala wa pili kusukuka maisha lkn sio kusema Totally kuwa ni dawa ya kulevya, big no, tinaheshim snaa ndo zinatuweka mjini hapa.
Period
Waelekeze wadau njia ya kupata mtaji nje ya ajira Mkuu wasiue ndoto zao ili wasurviveMshahara wowote unaolipa hua ni cocaine iliyowekwa na wajanja kuua ndoto zako...kwahyo kadili unavyo tafuta kampuni ya kukulipa Hela nyingi maanayake unapambana mwenyewe kutumia hii DAWA ya KULEVYA (mshahara) kuua kipaji au ndoto ..tafuta boss mzuri
Mtaji namba Moja ni wazo lililo crea fedha ni kitu tu au nyenzo tu na nirahisi saaaaana kuipata niamini ...endelea kupambana utakuja kujua kwmba kumbe chenye thamani kubwa sio hii mikaratasi ni mawazo yakinifu yenye uwezo wa kuleta idadi yyte ya fedhaMSHAHARA UNAUA NDOTO ZAKO BLAH BLAH Hii hoja huwa naiona ni hoja dhaifu sana.
Kwangu mimi Ajira ni Soko la kuuza na kununua ujuzi au nguvu kazi, hakuna mtu anaua ndoto zako ila unauza ujuzi au maarifa yako kwa mwenye uhitaji.
Pia Kwangu Mimi mshahara ni mtaji, Ndio ni mtaji Kwasababu tupo kwenye mazingira ambayo ni ngumu kupata mtaji sasa ujidanganye et hutaki kuajiriwa Sijui utatoa wapi huo mtaji zaidi ya kukesha kwa manabii wa uongo kusubiri mtaji ukushukie kwa miujiza.
Basi tukubaliane na ninyi ajira/ mshahara ni kuua ndoto zetu, tuelekezeni iliko mitaji tukaichukue tufanye biashara.
Mnayajua kweli masharti ya kupata mkopo bank??? Huyu kijana Muhitimu hakopesheki hata mikopo umiza, hana hata vigezo vya kukopeshwa bodaboda mnamwambia ajira/ mshahara ni kuua ndoto zake kweli??? Hamna hata aibu?
Ondoa kwanza wazo la kua na fedha nyingi waza unaweza kua msaada mkubwa kw watu wangapi ili wao wkupe fedha? Achana na huyo mmoja wakukupa Hela ajira ..waliofanikiwa na kua na pesa mingi walicho tuzidi nikwamba wanaletewa Hela na watu wengiWaelekeze wadau njia ya kupata mtaji nje ya ajira Mkuu wasiue ndoto zao ili wasurvive
Tatizo nyie Motivational speaker huwa mnaongea sana vitu theoretical ila kiuhalisia Mambo ni tofauti saana
Muwe mnaongea kwa kutumia mazingira ya Mtanzania wa kawaida yalivyo sio sijui ulimsoma nani huko ulaya alietoboa
Hivi unajua ukiwa mtaa huna mbele wala nyuma hali hua ikojeOndoa kwanza wazo la kua na fedha nyingi waza unaweza kua msaada mkubwa kw watu wangapi ili wao wkupe fedha? Achana na huyo mmoja wakukupa Hela ajira ..waliofanikiwa na kua na pesa mingi walicho tuzidi nikwamba wanaletewa Hela na watu wengi
Yule hamhudumii mtu mmoja... Anauza bidhaa yake Kwa billions of people anauza furaha kutokana na kipaji chake..achana na kuwaza kua manager wa bank ...na vitu kama hvyo ...yule Hana tofaut na anachofanya davido au mond ...wanabidhaa inaitwa burudan wanawauzia watu weeeengiiiii ila team anazochezea nikama amewaajir kumchukulia Hela Kwa hao watu...ambazo ndio wateja wakeKwa hiyo hata mshahara wa Messi, Ronaldo, Guardiola, Jurgen Klopp ni Dawa ya Kulevya? Kuwa makini.
Wasomi mnashida sana ya kuyaangalia mamboKwa hiyo hata mshahara wa Messi, Ronaldo, Guardiola, Jurgen Klopp ni Dawa ya Kulevya? Kuwa makini.
Mkuu mimi na wewe tuko pamoja! Kule street mambo ni magumu sana kaulize watu wanaofanya biashara wanapeta faida kiasi gani kwa mwezi halafu ulinganishe na mshahara unaopata. Miaka miwili liyopita nimekaa bila kazi ya mshahara, niliyoyaona huko sitaki hata kusikia. Mwezi huu naanza kazi ya mshahara wenye take home ya zaidi ya 90k per day, waulize wafanyabiashara wanaopata faida ya 90k per day hapo ndipo utaona mshahara ni bora kuliko mambo yoyote! Hii itakusaidia hata kutekeleza moja ya ndoto zako kama una akili!MSHAHARA UNAUA NDOTO ZAKO BLAH BLAH Hii hoja huwa naiona ni hoja dhaifu sana.
Kwangu mimi Ajira ni Soko la kuuza na kununua ujuzi au nguvu kazi, hakuna mtu anaua ndoto zako ila unauza ujuzi au maarifa yako kwa mwenye uhitaji.
Pia Kwangu Mimi mshahara ni mtaji, Ndio ni mtaji Kwasababu tupo kwenye mazingira ambayo ni ngumu kupata mtaji sasa ujidanganye et hutaki kuajiriwa Sijui utatoa wapi huo mtaji zaidi ya kukesha kwa manabii wa uongo kusubiri mtaji ukushukie kwa miujiza.
Basi tukubaliane na ninyi ajira/ mshahara ni kuua ndoto zetu, tuelekezeni iliko mitaji tukaichukue tufanye biashara.
Mnayajua kweli masharti ya kupata mkopo bank??? Huyu kijana Muhitimu hakopesheki hata mikopo umiza, hana hata vigezo vya kukopeshwa bodaboda mnamwambia ajira/ mshahara ni kuua ndoto zake kweli??? Hamna hata aibu?
Kuna mataahira wala siyo ya kusikiliza! Zamani hata mimi nilikuwa napingana sana na watu wanaolilia kazi za kuajiriwa eti nasema kwa nini usifanye biashara kwa kutumia hiyo taaluma yako? Hii no kwa mujibu wa elimu tunayopewa vyuoni kuhusu entrepreneurship! Sasa bwana, 2021 kazi niliyokuwa nayo ikawa imeisha nikarudi kitaa, weeeee, asikwambie mtu kuhusu mshahara. Pamoja na kulipwa mafao yangu kwani nimeenda wapi? Hela unapeleka kwenye biashara lakini huioni imekata. Nikaamua kusaka ajira kwa nguvu zote, Mungu si Athuman nimepata kazi ya mshahara tena ambayo naanza mwezi huu! Mtu asinishauri ujinga wa biashara tena!Kwenye maisha usipende sana kusikiliza na kufuata shauri za watu, utapotea usiposimamia maamuz yako.