1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,137
- 14,233
Vipi ukionekana NBC?TANGAZO! TANGAZO!
Yeyote atakae pata taarifa ya kuandama kwa mwezi maeneo ya NMB atupe taarifa haraka ili kesho tusijikute tunaendelea tena na mfungo wa Koresma'
NB:Ikumbukwe kuwa mfungo uliopita mwezi ulionekana tarehe 19 June.
Mkuu hakuna cha mapema siku ni constant 30" ,,,mwezi huu ndo zaidi hadi 33Jamani naona wazee walituzoesha mapema...mambo yamekuwa hovyo mpka sasa au ni dalili za ongezeko la mwaka???njaa inatumaliza ambao hatuna akili za kujiongeza(wategemea mshahara) au wadau kuna fununu zozote jikoni huko???
Tutakamilisha 30 na keshokutwa itakuwa Iddi🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️Vipi ukionekana NBC?
Ivi nikimzalisha mwanamke nakuwa nimejiongeza?Jiongeze mzee baba... Mshahara hautoshi!!
Mbona una hasira ivo? Au mwenzetu ulitumbuliwa vyeti fekero?JF ndio mwajiri wako? au ni vyeti feki, si uingie ofisini umuulize boss wako
Tumia njia ndefuMpaka saa izi nimeshindwa hata kurudi home,ntapita njia ipi ili kuwakwepa hao wanaonidai huko mtaani,huyu mzee nuksi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF haijawahi kunikifu hata siku moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko wapi? nimeuza ufuta nipo Pork joint njoo upunguze stress
Ila hii system sio sustainable kabisa.., watu walipwe kwa kadri wanavyozalisha, mtu hata akifanya kazi kwa bidii vp mshahara haupandi, asifanye kazi mshahara haupungui, sasa hii maana yake nnNafikiri ni busara mamlaka zinazohusika zingewapa taarifa watumishi mapema kuhusu hali. Ni taasisi imara pekee ambazo huweza kujenga mahusiano mazuri hasa katika taarifa na wateja wake
Jamani naona wazee walituzoesha mapema...mambo yamekuwa hovyo mpka sasa au ni dalili za ongezeko la mwaka???njaa inatumaliza ambao hatuna akili za kujiongeza(wategemea mshahara) au wadau kuna fununu zozote jikoni huko???
Vipi ukionekana NBC?
Tulia wewe, mwaka mpya wa fedha umeanza. Mfumo wa malipo wa 2019/20 bado haujafunguliwa. Vuta subra kwa siku chache tu.Jamani naona wazee walituzoesha mapema...mambo yamekuwa hovyo mpka sasa au ni dalili za ongezeko la mwaka???njaa inatumaliza ambao hatuna akili za kujiongeza(wategemea mshahara) au wadau kuna fununu zozote jikoni huko???
Ukiambiwa katiba ya tz hajakidhi mahitaji ya watanzania,mtu mmoja tu anafanya kazi zote,hatak kugawa madaraka,siku akisahau kubofya kitufe tu,ndo haya tunayashuhudia.Ila hii system sio sustainable kabisa.., watu walipwe kwa kadri wanavyozalisha, mtu hata akifanya kazi kwa bidii vp mshahara haupandi, asifanye kazi mshahara haupungui, sasa hii maana yake nn
[emoji44]Tulia wewe, mwaka mpya wa fedha umeanza. Mfumo wa malipo wa 2019/20 bado haujafunguliwa. Vuta subra kwa siku chache tu.
Kwan wewe umejiari?? Maana unaongea as if unamiliki bakhresa group of companiesMwisho wa mwz bado, kwahiyo usiwe na pressure, bado siku saba mpk mwisho wa mwezi, kule kuwahi kwa mishahara miezi ya nyuma ni bahati mbaya tu!!!