Mshahara nao tumegomewa!!!!

Mshahara nao tumegomewa!!!!

Wizara ya fedha inafunga mahesabu kwa hyo kila halmashauri ilipereka mahesabu yake Dodoma,tuvumilie .Mwezi jana waliopamda madaraja walikuwa wachache wakasingizia eti aliyekuwa anaingiza majina alopata msiba
Hizi L na R nishida sana kwa sasa. Walimu wa kiswahili inabidi walifuatilie kwa kina zaidi..Ilipereka =Ilipeleka
 
TUWE NA SUBIRA WANAKUSAIDIA KUTOTUMIA HOVYO HIVOOOO....najua system ya malipo ya serikali hadi sass bado kufunguliwa wanamalizoia reconciliation ya malipo ya financial year iliyopitaโ€ฆ...
 
JF ndio mwajiri wako? au ni vyeti feki, si uingie ofisini umuulize boss wako

Jamani naona wazee walituzoesha mapema...mambo yamekuwa hovyo mpka sasa au ni dalili za ongezeko la mwaka???njaa inatumaliza ambao hatuna akili za kujiongeza(wategemea mshahara) au wadau kuna fununu zozote jikoni huko???
 
Thanks! Na salary advance kwa CRDB kujiunga lazima uwe public sector(government) tu?Utaratibu wake?
Walengwa hasa watumishi wanaolipwa na serikali( civil servants) lakini am sure hata baadhi ya watumishi wa makampuni na taasisi wanaweza kupata maadamu tu trend yao ya mishahara ikae level
 
Ahahah
mkuu umenichekesha sabna mpaka washika virungu bado..har ni tete wakuu.
Ahahahaaaa
Hali tete, hapa ndipo pakumbambikiza MTU aliyetoka mbwinde kosa la kutema mate mbele ya umma ili atoe chochote kitu.
 
TANGAZO! TANGAZO!

Yeyote atakae pata taarifa ya kuandama kwa mwezi maeneo ya NMB atupe taarifa haraka ili kesho tusijikute tunaendelea tena na mfungo wa Koresma'


NB:Ikumbukwe kuwa mfungo uliopita mwezi ulionekana tarehe 19 June.
 
Kuwa mvumilivu mshahara upo njiani
IMG-20190723-WA0041.jpeg
 
Mpaka saa izi nimeshindwa hata kurudi home,ntapita njia ipi ili kuwakwepa hao wanaonidai huko mtaani,huyu mzee nuksi sana
 
Back
Top Bottom