Wizara ya fedha inafunga mahesabu kwa hyo kila halmashauri ilipereka mahesabu yake Dodoma,tuvumilie .Mwezi jana waliopamda madaraja walikuwa wachache wakasingizia eti aliyekuwa anaingiza majina alopata msiba
TUWE NA SUBIRA WANAKUSAIDIA KUTOTUMIA HOVYO HIVOOOO....najua system ya malipo ya serikali hadi sass bado kufunguliwa wanamalizoia reconciliation ya malipo ya financial year iliyopitaβ¦...
Jamani naona wazee walituzoesha mapema...mambo yamekuwa hovyo mpka sasa au ni dalili za ongezeko la mwaka???njaa inatumaliza ambao hatuna akili za kujiongeza(wategemea mshahara) au wadau kuna fununu zozote jikoni huko???
Walengwa hasa watumishi wanaolipwa na serikali( civil servants) lakini am sure hata baadhi ya watumishi wa makampuni na taasisi wanaweza kupata maadamu tu trend yao ya mishahara ikae level