Ikitokea watumishi wa umma wakakosa mshahara hata kwa miez mi5 au tisa mfululizo watafanya nini?
Toa jibu iki refer tabia zilizozoeleka kwa wafanyakazi wa Tanzagiza......
Je sheria za utumishi zinasema nn mwajiri asipolipa mshahara kwa muda wa mwezi 1 au miez 2 au mitatu mfululizo?????
Nachojua mtumishi wa umma asipofika kazini siku 3 mfululizo anakuwa amevunja mkataba na kujifukuzisha kazi????
Wajuvi wa sheria kujen hukuuu