mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,988
Wale kama Kafulila&the co. kwa kweli hao watakua na changamoto nadhani ni kwa mara ya kwanza watu wamepata u-das/ras bila kua watumishi wa umma.
Angalia hata hawa wakurugenzi wa halmashauri kikawaida sifa ya kuteuliwa uwe mkurugenzi mtumishi unakua umeshakua mkuu wa idara angalau kwa miaka 5 ndo nafasi itakuhusu lkn sa hivi wamechukuliwa makada ambao hawakuwahi kua watumishi wa umma.
So hapo jibu nadhani hao ma das/ras wa style wao wakipigw chini na mteule ndo basi tena.

Wale ambao hawakua na nafasi zozote zile serikalini zaidi yakukaa Lumumba,watarudishwa wapi endapo wakitenguliwa,i.e hao ma DAS na RAS?