Mshahara na marupurupu ya maRC na maDC hapa Tanzania

Wale kama Kafulila&the co. kwa kweli hao watakua na changamoto nadhani ni kwa mara ya kwanza watu wamepata u-das/ras bila kua watumishi wa umma.

Angalia hata hawa wakurugenzi wa halmashauri kikawaida sifa ya kuteuliwa uwe mkurugenzi mtumishi unakua umeshakua mkuu wa idara angalau kwa miaka 5 ndo nafasi itakuhusu lkn sa hivi wamechukuliwa makada ambao hawakuwahi kua watumishi wa umma.

So hapo jibu nadhani hao ma das/ras wa style wao wakipigw chini na mteule ndo basi tena.
Wale ambao hawakua na nafasi zozote zile serikalini zaidi yakukaa Lumumba,watarudishwa wapi endapo wakitenguliwa,i.e hao ma DAS na RAS?
 
Wale kama Kafulila&the co. kwa kweli hao watakua na changamoto nadhani ni kwa mara ya kwanza watu wamepata u-das/ras bila kua watumishi wa umma.

Angalia hata hawa wakurugenzi wa halmashauri kikawaida sifa ya kuteuliwa uwe mkurugenzi mtumishi unakua umeshakua mkuu wa idara angalau kwa miaka 5 ndo nafasi itakuhusu lkn sa hivi wamechukuliwa makada ambao hawakuwahi kua watumishi wa umma.

So hapo jibu nadhani hao ma das/ras wa style wao wakipigw chini na mteule ndo basi tena.
Mi nadhani hata wao wenyewe hawajui hatma yao,ndiyomaana pamoja nakua maDAS na maRAS,bado wanajihusisha Sana na siasa za CCM,mfano akina Kimeta wa Mpui,bora hata Mtela Mwampamba katulia kidogo,sasa akija Rais mwingine akawatumbua nadhani watalia nakusaga meno.
 
Mkuu hapo kwny kutojua hatima yao na inabdi waendelee kujikomba kwa CCM uko sawa kabisaa maana akija mwingine ambae sio wa mwelekeo aisee wamekwenda na maji.

Mwampamba kweli siku hizi ametulia sijui majukumu yamemzidi au anatafuta kiki ya kutoka nayo?

RC analipwa million 4 acheni utani,kuna taasisi binafsi anakula milion 24 ni kiwanda tena na huyo ni wa ngazi za juu
 
Kwny u-RC/U-Dc inshu kubwa sio mshahara jamaa wana madili na michongo mingi tu.

Angalia mtu kama Mnyeti alikua mkuu wa wilaya huko Arumeru baadae akateuliwa kua Rc lkn anamiliki uwanja wa mpira huko kwao wenye thamani ya bil 2 hii yote ni ndani ya hii miaka 4 ya awamu hii,Makonda ye vp unamuonaje kimaisha?

Sasa huyo mtu private sector hata anayelipwa hizo mil 20 na mpk aje afikie michongo ya level za kina mnyeti sio leo.

RC analipwa milkiin 4 acheni utani,kuna taasisi binafsi anakula milion 24 ni kiwanda tena na huyo ni wa ngazi za juu
 
4M Nyingi au ndogo mkuu?
4million kwa RC ni Ndogo sana..mkurugenzi wa nssf yumo kwenye 6m then RC anakula 4m kama ni kweli basi bado ni mshahara mdogo kwake...kuna private sector jina kapuni mshahara ni million 26 mzee baba
 
Mkuu hapo kwny kutojua hatima yao na inabdi waendelee kujikomba kwa CCM uko sawa kabisaa maana akija mwingine ambae sio wa mwelekeo aisee wamekwenda na maji.

Mwampamba kweli siku hizi ametulia sijui majukumu yamemzidi au anatafuta kiki ya kutoka nayo?
Mtela katulia sana,yawezekana mambo ambayo yeye mwenyewe anajipanga nayo,siyo kawaida yake,au yawezekana kashauriwa awe hivyo na baadhi ya wadau,na namsifu kwa hali hii kwani itapunguza hasira kidogo kwa wale wenye hasira naye juu ya unafiki wake unaosemwa na wale aliokua nao mwanzoni kabla yakuhama chama.
 
Kwa hiyo wewe unaona bora utajirike kwa wizi kuliko kupata pesa halali inayokidhi mahitaji yako ya kawaida, siyo?
Kwny u-RC/U-Dc inshu kubwa sio mshahara jamaa wana madili na michongo mingi tu.

Angalia mtu kama Mnyeti alikua mkuu wa wilaya huko Arumeru baadae akateuliwa kua Rc lkn anamiliki uwanja wa mpira huko kwao wenye thamani ya bil 2 hii yote ni ndani ya hii miaka 4 ya awamu hii,Makonda ye vp unamuonaje kimaisha?

Sasa huyo mtu private sector hata anayelipwa hizo mil 20 na mpk aje afikie michongo ya level za kina mnyeti sio leo.
 
Aisee mfano wewe ungekua rahisi ukapewa nafasi ya kurekebisha mishahara yao ungewapa kiasi gan hao MaRC?
4million kwa RC ni Ndogo sana..mkurugenzi wa nssf yumo kwenye 6m then RC anakula 4m kama ni kweli basi bado ni mshahara mdogo kwake...kuna private sector jina kapuni mshahara ni million 26 mzee baba
 
Moja ya vyeo visivyo na tija yoyote ile kwa Taifa huru la Tanzania, zaidi tu ya kutumika kisiasa kwa manufaa ya CCM! Haishangazi watanzania tulio wengi kuvikataa wakati wa Mchakato wa Katiba Mpya.
 
Back
Top Bottom