Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?

Ulipotaja Walimu wanaofundisha Feza na kuona wao ni ''So Special'' nikachora mstari kuwa wewe ni fungu la kukosa. Usiniulize kwanini ila jua tu wewe hujui unachokizungumzia.
Mi zinakuja za kutoa 30,000/= ili kushiriki Korosho Marathon na za chuo cha DIDES za kuniambia kuwa kijana wangu amechaguliwa kujiunga chuo hicho,.....ajabu ni kuwa mtoto wenyewe alipata 0