Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
huna tofauti na anaye utukana uchi wa mama yake ulio mtoa kwa sababu hata hiyo jeuri ya kuwaita wajinga ni kwa sababu wamekufundisha kusoma na kuandika.
🤔Its time to wake up! Walimu wanatumiwa kama scapegoat tu na wanasiasa Censoring their ROT!
👀Amkeni Fuatilieni mambo ya Msingi sio kila siku Mwalimu
🤣Badala uwaze Bilion 100 za Ruzuku ya mafuta unamuwaza Mwl ngoja waanze kukulamba Tozo miamala ya Benki si mlikimbia M~pesa mkahamia Benk sasa wamewafuata hukohuko
hakika hizi nyuzi za mishahara zimeteka hapa Jf, kila kona......
Hebu tulieni, Mama kawatendea mambo mazuri sasa mnatakiwa muhudumie wananchi kwa bidii na moyo wa upendo.