MAMBO TU ya lugha yanaleta tabu kwan kiswahili hakijitoshelez sometimes mm namaanisha hivi wkt una ajiliwa uliwaambia una degree wakakupa 150000? NA SIJA KUDHARAU KWAMBA HUWEZ KUWA NA DEGREE, OFCOZ UTAKUA UMEELEWA MKUU AU VP?
Uwiiiiii laki 3?
kumbe una akili ya maisha mama,:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:bora useme wewe watu wa humu ndani kila mtu analipwa vizuri sasa jiulize house gali wanalipwa sh ngapi...sales person maduka ya wahindi posta pita mitaa ya samora wana degree na diploma holder,customer care wa mtandao mbona watu laki kumi wana mishahara midogo??????
kijana aende kazini kama ulivyoshauri atatakula kazin kwake kutokana naufanizi kuna bonus,cumission nk.
akil zake achanganye na za kuambiwa
Kwa kweli nimecheka sana, kumbe tuko wengi!!!!jamaa kweli kabisa, mimi nilitumia laki na 40 kwa siku 1 kuamka kitoga kimepungua, tangia siku hiyo nimesema sinywi tena biere, sasa nampenda yesu, napeleka kwenye fungu la 10, koo likicheza nakemea kweli. ila washikaji wakiniita hapo ndio kizaa.
Mishahara kwa Sekta binafsi imepangwa kulingana na Sekta husika. Sio kwamba kwa vile wewe ni mhasibu basi mshahara wako utakuwa Fixed, na Serikali huwa inapanga Mishahara kwa kuzingatia Kima cha Chini cha Mshahara huko kwingine itategemea na Bargining Power kati ya Mwajiri na Mwajiriwa.. Ila kwa Kifupi ni kwamba: kwa mujibu wa Amri ya Mishahara(Wage Order) ya tarehe 1 Julai 2014: ni kwamba Sekta ya Hotel ina makundi matatu hivi ambayo vima vya Chini vya mishahara vinatofautiana ambavyo ni:-Mshahara wa mhasibu wa hotel ni sh ngapi kwa wenye degree ya uhasibu?
Hiyo ni hela yangu ya bia kwa mwezi.
si bora ukafundishe private school ukapige 70k yako kwa malengo
words are well said.hekooo
words are well said.hekooo