Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
me niliacha ilikuwa 400,000 Gross. Confirm with them 022 2124334
Duh kumbe kiduchu hivyo? Mbona wanaringa sana
me niliacha ilikuwa 400,000 Gross. Confirm with them 022 2124334
Duh!!kumbe mbwembwe zote na tai zenu mnakula laki 4tu!!
Kwa maisha ya sasa 400,000/- ni kiasi kidogo kumudu gharama za maisha. Sijui tufanyeje biashara na zenyewe ngumu kweli
hana ndugu wa kusaidia,au umezisahau familia zetu za kiafrika?
Jana tu wametangaza nafasi leo unaulizia kuhusu mshahara...! Oky nasikia gross ni 600kKwa bank operation officer wao wanalipaje kwa sasa
Apo bado..naskia gross ni 600000
Iyo 400K kuna watu naishi nayo na kuweka akibaKwa maisha ya sasa 400,000/- ni kiasi kidogo kumudu gharama za maisha. Sijui tufanyeje biashara na zenyewe ngumu kweli
Ni kweli hata 300k kuna watu wanaishi vyema tuIyo 400K kuna watu naishi nayo na kuweka akiba