Dah mkuu me niko kitaa cna job bana xo hebu nipatie kachance apo ata u-manager if possible. Niko vzuri kwny managerial mzee xo hebu nifikirieNiko katika hatua za mwisho kufungua pub,kimara temboni,nahitaji bar maids wazoefu,hasa kutoka bar nyingine,mshahara kiasi gani kwa mwezi naweza kuwashawishi wahame wanapofanya kazi waje kwangu,na wale wa counter mshahara huwa tofauti na wengine,ushauri naombeni wakuu.
Niko katika hatua za mwisho kufungua pub,kimara temboni,nahitaji bar maids wazoefu,hasa kutoka bar nyingine,mshahara kiasi gani kwa mwezi naweza kuwashawishi wahame wanapofanya kazi waje kwangu,na wale wa counter mshahara huwa tofauti na wengine,ushauri naombeni wakuu.
Duh!Mshahara wake utategemea sana na idadi ya Wanaume watakaokuwa wanambandua hapo katika pub yako Kimara Temboni.
Hahahahaaa! Umeua mkuu. Lakn kuna ukwel ndan yakeMshahara wake utategemea sana na idadi ya Wanaume watakaokuwa wanambandua hapo katika pub yako Kimara Temboni.
***Duh!
Balidadi ipo pale kinondoni mkwajuni***
Umewahi kusimamia bar gani ?,tiririka.../ nahitaji manager gwiji.
Niko katika hatua za mwisho kufungua pub,kimara temboni,nahitaji bar maids wazoefu,hasa kutoka bar nyingine,mshahara kiasi gani kwa mwezi naweza kuwashawishi wahame wanapofanya kazi waje kwangu,na wale wa counter mshahara huwa tofauti na wengine,ushauri naombeni wakuu.
huyu manager mtarajiwa kama kusema 'so' tu kunamshinda anasema 'xo', ataiweza kaz kweli? boss hebu pitia CV yake vizur asijekua anatokea call me J, halaf kama ni jinsia me akisema 'xo' ndo huwa nashangaa kuliko maelezo. No hard feelings.........Dah mkuu me niko kitaa cna job bana xo hebu nipatie kachance apo ata u-manager if possible. Niko vzuri kwny managerial mzee xo hebu nifikirie
Haaaha ili ukawamanage barmaids...utafaidi dah!!Dah mkuu me niko kitaa cna job bana xo hebu nipatie kachance apo ata u-manager if possible. Niko vzuri kwny managerial mzee xo hebu nifikirie