Msemo wa Leo....

Mchawi sio lazima aruke na ungo....
 
ukikaa karibu na bucha hauli nyama ya jana
 
kukaa karibu na makaburi sio kukaribia kufa
 
Aliyekupa ndiye aliyeninyima ipo siku atanifikiria
 
Kufa ni lazima, kuishi bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…