Subiri NGO zinazoshabikia mimba za utotoni zije kuwafungulia hizo shule...mwanao abandikwe mimba akasome hapo bure...stchyupidWALE WANAO SEMAGA *ELIMU* HAINA MWISHO
SASA MWISHO WAKE NI *MIMBA*
*MzeeKasema*
Kuna wakati betri zikikaribia kuisha chaji ukizibondabonda chaji hurudi kidogo, nawe ulipaswa ufanywe hivi.Wakati watu wanapiga kelele kuwa hatua hiyo itakiuka baadhi ya mikataba kimataifa ambayo nchi imeridhia wewe unakuja na hoja mbovu! Unasema QT na kama ni wa primary,??Upo mfumo usio rasmi Q T, utawasaidia ,na hoja ya Mh Rais ni ya kisheria
hii falsafa imetoweka siku nyingi sana.ukifeli la saba,f4 au f6 ndiyo mwisho wa elimu yakoWALE WANAO SEMAGA *ELIMU* HAINA MWISHO
SASA MWISHO WAKE NI *MIMBA*
*MzeeKasema*
Hilo nalo ni somo.WALE WANAO SEMAGA *ELIMU* HAINA MWISHO
SASA MWISHO WAKE NI *MIMBA*
*MzeeKasema*
ACHA KUPOTOSHA UKWELI MKUU HUNA HATA AIBU MAGUFULI AMEKAZIA TU BAADA YA KUONA KUNA NGO ZIMEHONGWA KUHALALISHA UPUUZI. TOKA LINI KABLA YA MAGUFULI MWANAFUNZI MJAMZITO ALIKUWA ANARUHUSIWA KUENDELEA NA MASOMO KATIKA MFUMO RASMI? KINACHOFANYIKA ATAINGIA KAMA PRVATE CANDIDATE NA SIYO SCHOOL CANDIDATE KAMA JAMBO HULIJUI USILIPOTOSHE PATA UKWELI KISHA ANDIKA UNACHOANDIKAWALE WANAO SEMAGA *ELIMU* HAINA MWISHO
SASA MWISHO WAKE NI *MIMBA*
*MzeeKasema*
Kutokana na Helena wako dunia was maana ya elimu, kweli itakuwa ndio mwisho wao lakini kwetu sisi tunasema ndio kwanza inatuongezea uwezo wa kupata elimu ya maisha yetu zaidi (informal) badala ya kuwa na formal lakini ukiwemo na Masada kwa jamii yako.WALE WANAO SEMAGA *ELIMU* HAINA MWISHO
SASA MWISHO WAKE NI *MIMBA*
*MzeeKasema*
MIKATABA YA KIMATAIFA !!!!!! NAWEWE NA UBONGO WAKO UNASHABIKIA UMALAYA SHULENI KISA MIKATABA YA KIMATAFA HEBU NITAJIE NI NCHI GANI DUNANI INARUHUSU MABINTI WAKIWA SHULENI WAZAE KISHA WARUDI SHULE KUENDELEA NA MASOMO ITAJE HAPA.Kuna wakati betri zikikaribia kuisha chaji ukizibondabonda chaji hurudi kidogo, nawe ulipaswa ufanywe hivi.Wakati watu wanapiga kelele kuwa hatua hiyo itakiuka baadhi ya mikataba kimataifa ambayo nchi imeridhia wewe unakuja na hoja mbovu! Unasema QT na kama ni wa primary,??
Nani kamtaja Magufuli hapo, jiongeze wewe.ACHA KUPOTOSH
ACHA KUPOTOSHA UKWELI MKUU HUNA HATA AIBU MAGUFULI AMEKAZIA TU BAADA YA KUONA KUNA NGO ZIMEHONGWA KUHALALISHA UPUUZI. TOKA LINI KABLA YA MAGUFULI MWANAFUNZI MJAMZITO ALIKUWA ANARUHUSIWA KUENDELEA NA MASOMO KATIKA MFUMO RASMI? KINACHOFANYIKA ATAINGIA KAMA PRVATE CANDIDATE NA SIYO SCHOOL CANDIDATE KAMA JAMBO HULIJUI USILIPOTOSHE PATA UKWELI KISHA ANDIKA UNACHOANDIKA
FUMBO FUMBA MJNGA MWEREVU ATANG'AMUANani kamtaja Magufuli hapo, jiongeze wewe.
wewe huelewi Qt zipo pia private schoolWALE WANAO SEMAGA *ELIMU* HAINA MWISHO
SASA MWISHO WAKE NI *MIMBA*
*MzeeKasema*