Azikiwe.
Alichosema LadtSwa ni kuwa Ubora wa Kitu/Bidhaa ndio uwe kigezo cha kupangia Bei. Isiwe una tatizo la laki tano hivyo chochote ulichonacho ukaamua kukiuza kwa laki hizo japo kuwa unajua kuwa ubora wake kithamani haulingani na bei uliopanga.Uwezekano mkubwa ni kuwa utapoteza wakati. Ni kweli unaweza ukalazimika kuuza kwa bei ya soko na hiyo huenda pande zote, inaweza kupanda au kushuka dhid ya bei uliyopanga.(Na Masoko mengi huzingatia ubora wa bidhaa).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.