Msemaukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msemaukweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Dec 11, 2008.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2008
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wana JF kuna Jengo la kifahari mfano wa meli unajengwa maeneo ya Majengo Mkoani Arusha,mwenye kujua ni la nani atueleze au tulifanyie uchunguzi.Kwa sasa mafisadi wanatumia majina ya watu wengine katika majengo na mali mbalimbali walizopata isivyohalali.Katika Mkoa wa Arusha Majengo,Kampuni za uwindaji nk zinatumika majina tofauti na za wamiliki wake kama njia ya kuficha ukweli.Tufichue uhujumu huu wa rasilimali za Taifa letu.
   
Loading...