Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,502
- 51,098
Ghadafi alikuwa na maono
Alikuwa amefungua front ya economic liberation ya Africa ila mabeberu
wakaona hili halikubaliki wakaja na NATO mazimamazima!
Waafrika ndio waliomuangusha na kumsaliti Ghadafi.
Yani Mabeberu wametoka wamekuja kumpiga Ghadafi wao wamebakia kutoa macho tu. Bara la kipumbavu sana hili
Sawa lakini na yeye alikua dikteta. Na mwisho wa madikteta siku zote unakua sio mzuri.
Waafrika ndio waliomuangusha na kumsaliti Ghadafi.
Yani Mabeberu wametoka wamekuja kumpiga Ghadafi wao wamebakia kutoa macho tu. Bara la kipumbavu sana hili
Kukaa madarakani zaidi ya miaka 40 na kuifanya Libya kama nchi yakeUdikteta wake ulikuwa ni upi?
Kukaa madarakani zaidi ya miaka 40 na kuifanya Libya kama nchi yake
Sawa.Acha propaganda wewe, Malkia Elizabeth yupo miaka 60 madarakani na hakuchaguliwa na mtu kuwa pale
Lakini Hatutamsahau Kwa Kuleta Majeshi Yake Uganda Kusaidiana Na Iddi Amin Kuua Wadanganyika Na Kuleta Misaada Yenye Masharti Ya Kidini
Natamani wakuelewe aseeee ila daaaaaahAcha propaganda wewe, Malkia Elizabeth yupo miaka 60 madarakani na hakuchaguliwa na mtu kuwa pale
Lakini Tuliomba Msamaha Na Kukiri Kukosea Jambo Ambalo Hao Ma-perfectionists Wa Kidini HawafanyiHata sisi tumewahi kusaidia waasi wa Biafra kujitenga dhidi ya nchi ya Nigeria
Mkuu Norway, sweden, Denmark ni nchi kubwa duniani na pia zinaongozwa kifalme, King harald wa Norway yupo madarakani tangu 1991 almost miaka 28 sasa hivi, kuna nchi 12 ulaya zenye wafalme.Kukaa madarakani zaidi ya miaka 40 na kuifanya Libya kama nchi yake
Hata Mandela aliitwa GAIDI, je ni kweli ?Sawa lakini na yeye alikua dikteta. Na mwisho wa madikteta siku zote unakua sio mzuri.