Msemaji wa Serikali: Anayetuhumu anaweza kuwa mtuhumiwa namba moja

Akina mbow wanafiki, waliwahi mtishia kumuua dr slaa, ni wanafiki sana


Kama yule aliyemtolea bastola nape mchana kweupe mwanachama mwenzie wa ccm
pic%2Bnape%2Bbastola.jpg

Tupia na wewe ushahidi kama huo.

Halafu et hawafahamiki huyo kavaa shat jeupe bastola kiunoni inaonekana pamoja na sura yake ccm bana.
 
Mbowe Amesema Wanaomba Taasisi Za Nje Za Kichunguzi Zitumike,hatuna Imani Na Serikali Ktk Hili Wao Niwatuhumiwa Na Mtuhumiwa Hawezi Kujichunguza Mwenyewe
Upumbavu umewajaa, huyo m/kiti wenu anawajaza mineno kapiga mil 200+.eti Germany,Israel, Scotland spys wanasubiri wapewe go on na Serikali aisee.
 
Back
Top Bottom