Msemaji wa Serikali: Anayetuhumu anaweza kuwa mtuhumiwa namba moja

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Hayo ni maneno ya Serikali!!
Screenshot_2017-09-22-20-52-03.png
 
Si ndiyo maana kunaitishwa uchunguzi huru mkuu ili tusituhumiane kwani ukweli na ukweli halisi ndiyo tutakoupata tokea katika chunguzi za namna hii.

Kwa nini tutoleane mapovu wakati culprits wanaweza kufahamika kupitia uchunguzi huru.

Mnatuchanganya mnapotaka busara itumike -- busara ipi zaidi ya uchunguzi huru?
 
Umeambiwa mtoa povu ndio anaweza kuwa mtuhumiwa!!
 
Back
Top Bottom