Msemaji wa kambi ya upinzani agoma kusoma hotuba baada ya Chenge kukataa kusomwa baadhi ya maneno

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Ni baada ya sehemu ya maoni hayo kuzungumzia matukio ya uhalifu

Dodoma. Msemaji wa upinzani wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ally Salehe amesusa kusoma maoni ya upinzani ya Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali baada ya Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge kukataa kusomwa kwa baadhi ya maneno yaliyomo katika maoni hayo.

Salehe alikuwa akisoma maoni hayo leo Januari 30 mwaka 2018 kwa niaba ya msemaji wa Wizara ya Katiba na Sheria, Tundu Lissu aliyeko nchini Ubelgiji kwa matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi Novemba 7 mwaka jana.

Maneno yaliyozuiwa na Chenge kusomwa na upinzani ni kuhusu matukio ya uhalifu nchini, likiwemo la kushambuliwa kwa Lissu.

Salehe alianza kusoma maneno hayo lakini alipofika aya ya nne alikatizwa na Chenge akimtaka asubiri, baadaye kumueleza kuwa lugha iliyotumika katika ukurasa kwa kwanza na pili wa hotuba hiyo si ya kibunge.

Baada ya kauli hiyo, Salehe amesema upinzani unaiamini na unaisimamia hotuba hiyo kwa kuwa wabunge wote wanayo nakala yake, akaomba kuiwasilisha na kurejea kuketi

Chanzo: Mwananchi
 
Magu anasema kuwa anachukia majizi wakati chama chake kinawapa majizi sugu nafasi za uongozi; Chenge?!
 
....baada ya Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge kukataa kusomwa kwa baadhi ya maneno yaliyomo katika maoni hayo.
Tido mahakamani, Lugemalira yupo ananyea debe lupango, lakini hili jizi ambalo mkono wake umehusika katika deals zote chafu ndani ya Nchi hii, lipo huru, tena likitamba ndani ya Muhimili muhimu.
 
hivi hakuna kamati hata moja katiya zile za makinikia iliyomtaja? Mbona rais aliagiza woote waliohusika wakamatwe"?
 
Back
Top Bottom