Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 291
- 281
Niseme ukweli bajeti zote nimezisoma ni nzuri sema hii ya Wizara ya Nishati imekaa poa sana. Raha ya kuwa na viongozi vijana wanaojua kuandaa bajeti na kuzipanga vyema.
uzuri gani unaongeleaNiseme ukweli bajeti zote nimezisoma ni nzuri sema hii ya Wizara ya Nishati imekaa poa sana. Raha ya kuwa na viongozi vijana wanaojua kuandaa bajeti na kuzipanga vyema.
Kwenye kutoa Mkopo Chuo kikuu mmeweka sh ngap ?Niseme ukweli bajeti zote nimezisoma ni nzuri sema hii ya Wizara ya Nishati imekaa poa sana. Raha ya kuwa na viongozi vijana wanaojua kuandaa bajeti na kuzipanga vyema.