matunduizi JF-Expert Member Aug 20, 2018 6,596 15,393 May 26, 2019 #1 Wakuu sina mengi. Je wamasai hawana haki ya kuja kutuoshea vyombo majumbani huku? Nini siri ya wamasai kutokuwa mabekitatu?
Wakuu sina mengi. Je wamasai hawana haki ya kuja kutuoshea vyombo majumbani huku? Nini siri ya wamasai kutokuwa mabekitatu?
Dukani JF-Expert Member Jul 24, 2018 1,123 1,636 May 26, 2019 #2 Wengi kwa umri huo wa kuwa mahouse girl wanakuwa ni wake za watu.
Davet JF-Expert Member Apr 5, 2013 42,377 205,773 May 26, 2019 #4 masai dada said: tunaolewa mapema Click to expand... Bora muhusika umejibu mwenyewe 😁
Tareeq JF-Expert Member May 3, 2010 828 407 May 26, 2019 #5 Waapo kabisa ,mimi nimewahi kuwa naye na hata mbaribagi alikuwepo
Escaper JF-Expert Member Nov 11, 2018 1,780 3,232 May 26, 2019 #7 Kwanza wanaume ndo huja mjini wadada wa kimasai mara chache sana kuwaona.
Jadda JF-Expert Member May 20, 2019 29,339 83,786 May 26, 2019 #8 Tareeq said: Waapo kabisa ,mimi nimewahi kuwa naye na hata mbaribagi alikuwepo Click to expand... Imenichukua dakika mbili nzima kuelewa kuwa umemaanisha kabila la wabarbaig
Tareeq said: Waapo kabisa ,mimi nimewahi kuwa naye na hata mbaribagi alikuwepo Click to expand... Imenichukua dakika mbili nzima kuelewa kuwa umemaanisha kabila la wabarbaig