pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,233
Nakapenda haka kawimbo, bt cjajua ni wasanii gani wameimba.Nimekasikia Mara mbili tatu clouds fm bt kila Mara nakuta ndo kanaisha isha au washataja details.
Wapo wawili mmoja anaimba ,sauti Nzuri ya RnB na mwingine anachana.
Chorus.
"Usipagawe na uselaaa me Nina real love, me mselaaa ila nina real love.
Ndio me ni msela ila siyo msela ma** hata mi mwenyewe kukuoa Nina hadhi.......
.
Mwenye details zake Tafadhali na link.