Msekwa kazeeka na akili zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msekwa kazeeka na akili zake

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Seto, Jan 29, 2011.

 1. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hivi huyu msekwa kusema eti katiba yetu haina makosa ila tuna tatizo la kimaadili kichwani zinamtosha kweli?..
  sasa mfano hicho kifungu kinachosema kuwa rais wa tanzania hatoshtakiwa popote akiwa na baada ya kutoka madarakani kwa makosa atakayofanya akiwa madarakani si ujinga huu,,,,sa si wataendelea kufanya madudu tu kwa sababu katiba inalinda ufisadi wao?
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Achana na huyo mzee hakuwa na jingine la kusema zaidi ya hayo!
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  yeye ndie alitengeneza hii iliyopo hivyo lazima aitetee....yeye anamaadili gani si alikwiba hela za ubalozi?
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hawa wazee ndo wanaua kabisa nchi yetu!
   
Loading...