MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,122
- Thread starter
-
- #61
Huu ni ukweliSimiyu yenu msekwa kasema kweli coz uvccm hamna adabu tena mnapiga wazee ...warioba na wew naona umemtoleasekwa maneno ya kuudhi.
Yuko sahihi ikiwa hata wew ni ccm kwani wanaccm wa asili waliheshimiana
Mzee yupi huyo mkuuHawamshindi Yule Mzee Wa NGADA / MSUBA Na GOMBA!!!! Nadhani Yule Ameona Wanapata Tabu Kujifichaficha!!! BORA Wale Tu Vitu Vyao Bar!!!!!
Mzee msekwa kaisha yupo kama kubenea tu mda wote kuwanza shanga na kuhangaika na mambo yasiyo ya msingi.
Ccm hawataki ushauri wowote maana wanajifanya wanajua kila kituKila anayewaaeleza ukweli amekwisha haya.Msije kumbuka shuka kumekucha.
hahahahahaaa..kiukweli mzee kasema ukweli kama wanaccm wenyewe ndio nyie mzee ana haki ya kusema ukweli. ccm kimekuwa chama na pango la wanafiki na wazadiki.
nyie wala viwavi hamshindwi kumtandika huyu mzee kama mlivyomfanya Warioba.Mzee msekwa kaisha yupo kama kubenea tu mda wote kuwanza shanga na kuhangaika na mambo yasiyo ya msingi.
HahahahaaaChama Cha Majipu
tena majipu uchungu lililota takoni.Chama Cha Majipu
Jamani!!!, mweeee!!!!!tena majipu uchungu lililota takoni.
hahahahahaaa km nakuona umeweka mikono miwili kichwani...?!Jamani!!!, mweeee!!!!!
Si umalizie tu kwa kusema abazeeka vibaya .maana hata wazee wenu wakiwahusia jambo hamsikii mmebaki kibri kama mlivomfanyia mzee warioba mkamwambia msaliti ooh mara anatumiwa na wapinzani kiasi cha kufikia kumpiga, kumfukuza kwenye nyumba ya kupanga aliyokuwa akifanyia kazi za sheria .Ukiona mtu hataki kukosolewa jua huyo n mwoga na ana madhambi mengi asiyotaka yajulikaneMzee msekwa kaisha yupo kama kubenea tu mda wote kuwanza shanga na kuhangaika na mambo yasiyo ya msingi.
Ameyasema hayo kwenye kitabu chake cha kuadhimisha miaka 39 tangu kuzaliwa kwa ccm. Amesema ccm imepoteza asili yake ya kutetea wanyonge
Chanzo: Magazeti ya leo
unasema mzee msekwa anawaza shanga? unamaanisha kuwa hajambo kwenye yale mambo mengine? sijaelewa kityu hapa!Mzee msekwa kaisha yupo kama kubenea tu mda wote kuwanza shanga na kuhangaika na mambo yasiyo ya msingi.
Serikali haikumpiga chini ila yeye alijiuzuru. Rejea speech yake wakati anajiuzulu.Hapo ndipo UKAWA kawamaliza LOWASA mlikuwa mkiimwita fisadi mkamweka hadi kwenye list of shame kama fisadi papa.Amekuja akawapa tuition kuwa mumwite fisadi mtu aliyehukumiwa na mahaka mkasema sawa mzee.Sasa midomo amewafunga ole wenu mumwite Chenge AU mtu yeyote fisadi wakati hajahukumiwa na mahakama.Sasa hivi mumeufyata kawafyatisha Lowasa na ndio maana alikuja kwenu akijua nyie wababaishaji.CCM tunamjua fisadi bunge lilimhukumu,serikali ikampiga chini uwaziri mkuu na CCM ikakatilia mbali jina lake.
Ninyi hamheshimu maamuzi ya muhimili wa bunge ambamo na akina Mbowe WAMO uliOtoA ripoti kuwa huyo ni kibaka wa Richmond mnataka ahukumiweje? Mumechemka mumewaangusha wananchi sasa hivi neno ufisadi kwenu gumu kutamka CCM tu ndio inaweza tamka kwa ujasiri.Sasa hivi majipu ya mafisadi yanatumbuliwa
.....kubenea dini inakuruhusu ongeza mke...........hoja ni kuhusu mwasisis wa ccm lkn lazima kubenea atajwe tu kwa sababu zako binafsi.......si umtafute inbox kwani mpaka watu wote wajue!?Mzee msekwa kaisha yupo kama kubenea tu mda wote kuwanza shanga na kuhangaika na mambo yasiyo ya msingi.