MSD medical store

MSD medical store

gasscan

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
39
Reaction score
7
jamn naomba msada hwa jamaa ajira zao zipoje wnatangaza au vip, naomba ufafanuz kw anaelewa habar zao
 
Kwa kuanzia unajua hata kirefu cha MSD?
 
Msaidie huyo ndugu kupata anachoouliza usihamishe mada, najua umemuelewa alichouliza sasa mambo ya kirefu cha msd unataka ya nini?
Medical Store Department.

Huwezi kuomba kazi sehemu hata hujui panaitwaje. Msingi wa swali langu upo kwenye title ya uzi wake. Mpaka hapo amekwisha saidiwa sana kwa kuanzia.
 
Huwezi kuomba kazi sehemu hata hujui panaitwaje. Msingi wa swali langu upo kwenye title ya uzi wake. Mpaka hapo amekwisha saidiwa sana kwa kuanzia.

Aya kama umeelewa na una uwezo wa kumsaidia msaidie mkuu information is power
 
Msaidie huyo ndugu kupata anachoouliza usihamishe mada, najua umemuelewa alichouliza sasa mambo ya kirefu cha msd unataka ya nini?
Medical Store Department.

sawa sawa mkuu hatuitaj mana ya maneno km anajua bc atueleze, co kuanza kujifanya anajua virefu vya maneno shabashhh
 
sawa sawa mkuu hatuitaj mana ya maneno km anajua bc atueleze, co kuanza kujifanya anajua virefu vya maneno shabashhh

Kwa kifupi ni kwamba hakuna kitu inaitwa MSD Medical Store hapa nchini. Ila kuna Medical Stores Department (MSD).
 
very funny

mtu hajui na hata akijua kwamba hajui bado yu rudhi kujibaraguza illhali hajui

ikiwa tu hujui MSD ni nini sasa tukukuuliza majukumu na kazi za MSD utazijua? nawe utatakaje kufanya kazi usipopajua wanafanya kazi za aina gani?

pathetic indeed
 
Na mimi natafuta kazi ya job.

Umeua kabisaaaaa. Tatizo letu hatupendi kujifunza, kuonesha hatujui wala kukosolewa. Utaombaje kazi kwenye Taasisi, kampuni au shirika ambalo hata hujui kwa usahihi linaitwaje.

Ukianza kwa kumuonesha mapungufu yake na kumkosoa anajifanya nunda.
 
wabongo tumekosa misaada ming iz iz assuming kumbuka MSD zipo nying, za maana nying so kuulizwa mana ya msd ucje ukadhan kejel cha msing ungejibu ndo upate msaada zaid uwez jua interview yaweza anzia hapahapa jf...
 
Umeua kabisaaaaa. Tatizo letu hatupendi kujifunza, kuonesha hatujui wala kukosolewa. Utaombaje kazi kwenye Taasisi, kampuni au shirika ambalo hata hujui kwa usahihi linaitwaje.

Ukianza kwa kumuonesha mapungufu yake na kumkosoa anajifanya nunda.

umemkote instead of lane
 
Last edited by a moderator:
kama ni hii MSD ya madawa basi uwe na profesheni za madawa kwanza, au management, administration, procurement, secretarial courses n.k. Ajira zao zinatangazwa katika magazeti ya serikali kwa zile zisizohusiana na pharmacy, na za pharmacy hupangiwa moja kwa moja kutoka walioomba wizara ya afya au kwa kuangalia utaratibu mwingine utakaofaa. Nakutakia kila la kheri kama umewaza eneo hili, ila jipange vizuri
 
Msd full bias, hata mimi nilijaribu post ya account, mwisho wa siku undugulization ulitake place.
 
kama ni hii MSD ya madawa basi uwe na profesheni za madawa kwanza, au management, administration, procurement, secretarial courses n.k. Ajira zao zinatangazwa katika magazeti ya serikali kwa zile zisizohusiana na pharmacy, na za pharmacy hupangiwa moja kwa moja kutoka walioomba wizara ya afya au kwa kuangalia utaratibu mwingine utakaofaa. Nakutakia kila la kheri kama umewaza eneo hili, ila jipange vizuri

Acha uongo ww, MSD ni store to na waajiriwa wengi ni store keepers, accountants, suppliers, na hao wa medicine
 
Nasikia (Tetesi) wanafungua maduka ya dawa ya biashara nchi nzima kuanzia 2015, nenda unaweza ukaambulia kitu......
 
Back
Top Bottom