Msc. Procurement and supply v/s Mba(procurement and supply)

Nicky nicky

Senior Member
Aug 20, 2011
106
9
Natumai kozi zinajieleza zenyewe, shida yangu kubwa hapa mi kufahamu utofauti wa kozi hizo mbili hasa katika value na mambo mengine kwani nataraji kusoma moja wapo hivyo ni vyema nikapata ufafanuzi kabla ya kutuma application.Note. Msc. ni ya mzumbe na mba ni inayotolewa na IAA wakishilikiana na Coventry university. Kalibuni
 
Very good Mjasiriamajishupavu for that well educated document. Some people especially ladies consume even 5 cans of red bull per single night

MBA ni nzuri kwa watu ambao tayari wana ajira coz inakupa general knoweldge kwenye fani husika,na Msc ni nzuri kwa mtu ambaye hafanyi kazi (fresh graduate) kwa sababu inadeal deaply na fani na hivyo unakuwa competent zaidi na hivyo kujiuza kirahisi kwenye soko la ajira.
So, kwa maelezo hayo nakushauri kama upo kwenye ajira soma MBA lakini kama ndo ume-graduate na hauna ajira soma Msc.
 
Back
Top Bottom