Andindile JF-Expert Member Joined Mar 18, 2009 Posts 304 Reaction score 19 Apr 15, 2016 #1 Jamani nafasi za masomo kwa mwaka 2016/2017 ndo hizo zimetangazwa. Mnakaribishwa kuomba kozi husika. Tazama kiambatanisho kwa maelekezo zaidi. Maombi yanafanyika online kwa link hii https://aris2.udsm.ac.tz/pgoa Attachments M.Sc.GIS Poster-2016.pdf M.Sc.GIS Poster-2016.pdf 242.2 KB · Views: 100
Jamani nafasi za masomo kwa mwaka 2016/2017 ndo hizo zimetangazwa. Mnakaribishwa kuomba kozi husika. Tazama kiambatanisho kwa maelekezo zaidi. Maombi yanafanyika online kwa link hii https://aris2.udsm.ac.tz/pgoa
K KIDUNDULIMA JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 966 Reaction score 541 Apr 16, 2016 #2 Mkuu inamaana kwa sasa hakuna kujaza form kabisa zaidi ya online?
Dr nyanjige Member Joined Nov 14, 2015 Posts 54 Reaction score 31 Apr 16, 2016 #3 Ingekuwa nzuri kama ingekuwa GIS and Remote Sensing...