Msc. Accounting &Finance

Peaceful Warrior

Senior Member
May 28, 2013
125
28
Mimi ni 3rd year mzumbe Moro BAF, nataka niunge MAF Mzumbe dsm campus au MBA finance UDSM.

Ninaomba neno la shauri katika haya machaguo. Pia kwa upande wa MAF dsm nilitaka nijue mazingira pale chuo yapoje, muda wa vipindi kuanza na kuisha.

Na mimi pale dsm naishi mbali mbezi naweza kuwai au kuna affordable accomodation nearby. Course zote hizo ni normal session.
Ahsanteni
 
Kwanza hapo inabidi ujue unapenda kufanya vitu gani maishani. Kama una mpango wowote wa kufanya uhasibu au auditing, ACCA/CPA ni bora kuliko MAF.

Kama unataka kufanya mambo ya finance ungesoma hiyo MAF au MBA-finance. Sema MBA imekaa ki-general sana (regardless course structure).

Halafu ni muhimu kupitia course structures. Kwa upande wa muda wa vipindi binafsi sina taarifa ya campus ya Dar ngoja waje wanajamvi wengine kukusaidia.

Moja ya faida ya MBA-finance ni kwamba utaichukua kwenye chuo kinachotambulika kimataifa kuliko MU.

Muda bado unao wa kufanya upembuzi, usijilimiti kwenye course mbili tu.
 
Kwanza hapo inabidi ujue unapenda kufanya vitu gani maishani. Kama una mpango wowote wa kufanya uhasibu au auditing, ACCA/CPA ni bora kuliko MAF. Kama unataka kufanya mambo ya finance ungesoma hiyo MAF au MBA-finance. Sema MBA imekaa ki-general sana (regardless course structure). Halafu ni muhimu kupitia course structures. Kwa upande wa muda wa vipindi binafsi sina taarifa ya campus ya Dar ngoja waje wanajamvi wengine kukusaidia. Moja ya faida ya MBA-finance ni kwamba utaichukua kwenye chuo kinachotambulika kimataifa kuliko MU.
Muda bado unao wa kufanya upembuzi, usijilimiti kwenye course mbili tu.
Ahsante kwa ushauri
 
Kwa upande wangu binafsi nilitaka nisome hiyo MAF na huku natafuta CPA kwa pamoja kwasabubu course structure ya MAF inafanana na CPA kimtindo kwahyo itanipa wepesi wa review studies.
 
Ni kweli, kuna mambo yatakuwa yanaendana. Hapo finance ndio ya muhimu sana maana kwa accountancy CPA inatosha. Sema course yenyewe ni kwa sababu ni double major tu. Ila pia angalia course ya UDSM, kwa kuwa unataka kusoma CPA mara baada ya kutoka chuo basi hata yale uliyasoma BAF yatakusaidia kwenye CPA. Kama sababu kuu ya kusoma MAF ni unafuu wa ku-review CPA basi hiyo isikutatize maana mambo mengi ya CPA umeshayasoma chuo.
 
Mimi ni 3rd year mzumbe Moro BAF, nataka niunge MAF Mzumbe dsm campus au MBA finance UDSM. Ninaomba neno la shauri katika haya machaguo. Pia kwa upande wa MAF dsm nilitaka nijue mazingira pale chuo yapoje, muda wa vipindi kuanza na kuisha. Na mimi pale dsm naishi mbali mbezi naweza kuwai au kuna affordable accomodation nearby. Course zote hizo ni normal session. Ahsanteni
UNGA CPA achana na masters, au ukita masters soma ya udsm master ya oil and gas
 
Hyo ada unayotaka kuchoma kusoma MSc. fanya ufanye biashara. Kama uwezo upo proceed lakini. Ifike wakat tuanze kukubaliana na hali yenyewe ilivyo.

Utanikumbuka mara buku.
Tatizo akili zetu zilishaharibiwa na mkoloni, huwa tunadhani kuajiliwa tu. Na kibaya hatua zote za shule zinafundisha kuajiliwa, yaani hata ukimuuliza mtoto mdogo unataka kuja kuwa nani ukiwa mkubwa utasikia Dr, injinia, etc.
Same Kwa huu ushauri, huyo jamaa atakuona wewe kimeo Kwa kumshauri hivyo, ila huo ndiyo ukweli.
 
Im very positive with that BSc. Accounting & Finance he is wise enough. He is likely to do BIG things business wise than being employed. Only if akijitambua tu.

Nimepiga mpaka hyo MSc. tena nchi za watu huko mbele. Ajira isnt my thing nd hakuna faida yeyote ya ajira. Kama anataka kuajiriwa iwe kwa malengo flan.

I aint of a genious or can make an excellent worker but definitely an excellent business person. I'll just trade whats best available in the market and aim for long term investments. Already started.
 
Kaa mtaani miaka mitatu utfute CPA na ujira,kisha jiunge Masters ya Accounting chuo cha Uhasibu (TIA). Itakuwa tayari inatoa hiyo kozi.
 
Natambua sana umuhimu wa business lakin. Na mm pia nina kibiashara changu kidogo tu nakifanyaa. "Start small aim higher"
 
Hyo ada unayotaka kuchoma kusoma MSc. fanya ufanye biashara. Kama uwezo upo proceed lakini. Ifike wakat tuanze kukubaliana na hali yenyewe ilivyo.

Utanikumbuka mara buku.
Sichomi ada nimepewa offer ya kusoma na ninalipiwa kila kitu na mzazi wangu kwahyo sioni ubaya. Kwasababu nikimwambia hyo pesa anipe nifanyie biashara badala ya kusoma sidhani kama ata kubali.
 
Im very positive with that BSc. Accounting & Finance he is wise enough. He is likely to do BIG things business wise than being employed. Only if akijitambua tu.

Nimepiga mpaka hyo MSc. tena nchi za watu huko mbele. Ajira isnt my thing nd hakuna faida yeyote ya ajira. Kama anataka kuajiriwa iwe kwa malengo flan.

I aint of a genious or can make an excellent worker but definitely an excellent business person. I'll just trade whats best available in the market and aim for long term investments. Already started.
Ndo na mm nataka nifanye nisome nimalize wakati nina morali afu niendelee na mishe zangu za kusaka tonge. Nahisi masters me ndo mwsho wa masomo kwangu
 
Kaa mtaani miaka mitatu utfute CPA na ujira,kisha jiunge Masters ya Accounting chuo cha Uhasibu (TIA). Itakuwa tayari inatoa hiyo kozi.
Kingine nacho consider ni kwamba CPA is not guaranted kwa muda fulani utakuwa umemaliza, wangine hutumia miaka mingi wengine ndani ya mwaka tu.wakati najikongoja mdogomdogo na CPA. Na masters naipiga kwa pamoja.
 
Uli
Mimi ni 3rd year mzumbe Moro BAF, nataka niunge MAF Mzumbe dsm campus au MBA finance UDSM.

Ninaomba neno la shauri katika haya machaguo. Pia kwa upande wa MAF dsm nilitaka nijue mazingira pale chuo yapoje, muda wa vipindi kuanza na kuisha.

Na mimi pale dsm naishi mbali mbezi naweza kuwai au kuna affordable accomodation nearby. Course zote hizo ni normal session.
Ahsanteni
Ulishajiunga na masters, tupe mrejesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom