Barabara nyingi zimekua na karaha ya kusafiri maana matuta yamekua kama tupo shambani, kwani wameshindwa kubuni njia za watembea kwa miguu chini ya barabara( pedestrian bridge) badala ya kutumia matuta au hatuna wahandisi wa kuplani kabala ya ujenzi wa barabara?.ni road nzuri ukitembea ikiwa umtembeaji .ni nzuri ya kujiachia, isipokuwa Kati hapo kuna matuta ya kukera...
Nimepita barabara hii nikitokea Arusha. Kwa kweli ni safi na haina stress kama za ubungo. Wengine piteni mjionee
ungetuwekea picha.wengine tuko huku Ntwara tutapita lin Msata