Msanii Young D amfuata mwanae, apiga picha na mama mtoto

Oooh, ile inayowafanya mshindwe ile kazi, nasikia wanawake wa huko wanakodi wanaume Kenya
Una uhakika hatuwezi kazi?
Kwa taarifa yako takwimu zinaonyesha wilaya yetu ndiyo inaongoza kwa wanafunzi wa kike kupata ujauzito wakiwa bado mashuleni sas,a hizo mimba mlitusaidia Nyie kuwapa au zilijazwa kwa upepo?
 
huyu mzuri kuliko hata tunda.akipiga make up na 360 anazotumia huyo tunda ndio anakuwa bomba zaidi.ukiitwa young sio ndio uendekeze utoto!dogo maisha ya hapa duniani yanatufunza mengi hivyo usisubiri hadi na ww ufundishwe wakati itakuwa too late.kaa lea familia
 
Mbona huyo demu wa kawaida!

huyu dogo ndiyo anaegongea ugali kwa producer wake, atapata wapi hela ya kumtunza huyo mrembo
 
Shilawadu ndio waliomtambulisha huyu mtoto bila wao wote tusingejua kama young daresaalam ana mtoto.... Wakati mwingine umbea unasaidia ha ha ha! ! Shilawadu, shilawaduu nawaona mnakula tuu ubuyuuu shilawadu siwataki kwa umbeaaaa. Big up kwenu shilika la wambea duniani. # SHILAWADU#
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom