Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
Alikuwa yeye tu.Na igizo lilivyoanya na lilivyoisha ni sawa ktk kuwasilisha ujumbe?Mbona hakutekwa yule jamaa katolewa ofisini tu anatekwaje mtu kwa kelele hiyo tena ndani ya ofisi yake mwenyewe na wafanyakazi wakiwemo?
Tamthilia za BONGO Maigizo yasiyo na Tija na Uhalisia mengi sanaNimeangalia clip yake ya maigizo inayoitwa(kazi na ngono)katika igizo hili limeanza vema lakini ktk kumaliza nadhani lina utata. Joti aliigiza kama binti mwenye elimu ya digrii anayetafuta kazi, lakini bosi akamtaka kimapenzi ili ampe kazi na aliposhindwa kugawa uroda bosi hakumpa kazi.
Joti akarudi nyumbani na kumsimulia mama yake na hatimaye yeye mama na mtoto wakaambatana kwenda ofisini. Na walipofika ofisini mama akamkamata roba bosi na kutoka naye nje halafu Joti akakalia kiti cha bosi ofisini na kuanza kutumia desk top kama mfanyakazi.
Sasa kwanini nasema amekosea, igizo lilipoanza lilikuwa linaashiria kufundisha kupinga unyanyasaji wa kingono toka kwa mabosi, rushwa ya mapenzi. Lakini limeisha kwa kuteka ofisi. Watalam mnisaidie hii ni sawa ktk kuwasilisha ujumbe?
Nimeangalia clip yake ya maigizo inayoitwa(kazi na ngono)katika igizo hili limeanza vema lakini ktk kumaliza nadhani lina utata. Joti aliigiza kama binti mwenye elimu ya digrii anayetafuta kazi, lakini bosi akamtaka kimapenzi ili ampe kazi na aliposhindwa kugawa uroda bosi hakumpa kazi.
Joti akarudi nyumbani na kumsimulia mama yake na hatimaye yeye mama na mtoto wakaambatana kwenda ofisini. Na walipofika ofisini mama akamkamata roba bosi na kutoka naye nje halafu Joti akakalia kiti cha bosi ofisini na kuanza kutumia desk top kama mfanyakazi.
Sasa kwanini nasema amekosea, igizo lilipoanza lilikuwa linaashiria kufundisha kupinga unyanyasaji wa kingono toka kwa mabosi, rushwa ya mapenzi. Lakini limeisha kwa kuteka ofisi. Watalam mnisaidie hii ni sawa ktk kuwasilisha ujumbe?
Acha kukaza fuvu hukuona secretary na pale si ofisiniAlikuwa yeye tu.Na igizo lilivyoanya na lilivyoisha ni sawa ktk kuwasilisha ujumbe?
Nadhani huelewi namna ya uwasilishaji. sekretari alikuwa chumba kingine sekretari hakai na boc chumba kimoja.Pia igizo lilivyoanza na lilivyoisha ni sawa?Hapo ndipo penye hoja kuu usiambuliye kucheka tu.Acha kukaza fuvu hukuona secretary na pale si ofisini
kikubwa ugali wake unaenda mezaniUsanii bila shule ni ujinga mtupu.Joti ni std 7 yeye ni stearing,yeye ni Director yeye ni kila kitu unategemea final product gani !.
Haya bhana mzee wa BASATANadhani huelewi namna ya uwasilishaji. sekretari alikuwa chumba kingine sekretari hakai na boc chumba kimoja.Pia igizo lilivyoanza na lilivyoisha ni sawa?Hapo ndipo penye hoja kuu usiambuliye kucheka tu.