Principle inayokuwa applied hapo ni "Tit for Tat"Ohoooo !!!! Tusifike huko jamani , Maendeleo hayana chama
Wakati wa Maandamano ya Mange alidai hata ukizunguka kitanda chako chumbani utahesabika kama umeandamana na utakamatwa na kushughulikiwaHuyo jamaa si ndiyo miezi michache ya nyuma, wizara yake ilizuia wananchi wasivae T/Shirt zilizoandikwa PRAY FOR LISSU??
Sasa zamu yake........
Ndiyo sababu imemfanya cartoonist amwombee huyo Punda kupona haraka, kuliko kumwombea huyo jamaa a-get well soon!
Imenenwa kuwa MWISHO WA UBAYA AIBU!
Ila kusema ukweli mwigulu tangu atumbuliwe hajielewi juzi baada ya kuruhusiwa hospital eti anamshukuru rais kwa kupona!!Wakati wa Maandamano ya Mange alidai hata ukizunguka kitanda chako chumbani utahesabika kama umeandamana na utakamatwa na kushughulikiwa
Unamaana jamaa wote wa mjengoniTofautisha anayekubebea mzigo na anayekubebesha mzigo.
Huyu akipona anaenda kutunga sheria za kukubebesha mzigo, anaenda kupora kodi uliyochangia kwa jasho na damu, anaenda kuunga mkono vikokotoo ili uwahi kufa utakapostaafu nk.
Huyu mwingine akipona angalau atakubebea mizigo yako, atabeba maji kutoka mbali ili kutuliza kiu yako, atakubeba hata wewe mwenyewe ukichoka kwa mwendo mrefu.
Ni nani anastahili kupewa "GET WELL SOON"?
Wa CCMUnamaana jamaa wote wa mjengoni
Alimaanisha ni bora mnyama kuliko maana CCMWasanii wa uchoraji wana mambo yao nimeikuta mahala hii katuni nimeshindwa kuielewa.
Naombeni ufafanuzi mwenye kuielewaView attachment 1027497
In God we Trust
Au ile ishu ilikuwa kanyaboya kama ya "Abdul Nondo"?Huyu jamaa leo tulikuwa nae huku kwenye ziara ya M/rais kinampanda ttc. Analamba kinyira tu kama hana akili nzuri vile.
Wanasiasa ni watu wa aina tofauti na kariba za binadamu wengine.
Anadunda tu wala hana maumivu at all
Heri punda apone, kuliko mtu aliyemkana na kushindwa kwenda kumuangalia ndugu yake aliyepona risasi 30Wasanii wa uchoraji wana mambo yao nimeikuta mahala hii katuni nimeshindwa kuielewa.
Naombeni ufafanuzi mwenye kuielewaView attachment 1027497
In God we Trust
Hahahaaaaaa kuzaliwa bongo ni raha aiseeh..Ila kusema ukweli mwigulu tangu atumbuliwe hajielewi juzi baada ya kuruhusiwa hospital eti anamshukuru rais kwa kupona!!
Na wewe si mmoja ya watu mlopanga kuandamaba au biti lilikutishaWakati wa Maandamano ya Mange alidai hata ukizunguka kitanda chako chumbani utahesabika kama umeandamana na utakamatwa na kushughulikiwa