kukumsela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 721
- 907
Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu, naomba kujuzwa kuhusu msanii aliyetamba kipindi cha nyuma kidogo katika tasnia ya Bongo Movie hususani katika tamthilia ya Jumba la Dhahabu.
Naomba kuwasilisha wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuwasilisha wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app