Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,734
- 8,986
unakumbukia zile pigo zake brazia na bikini akiogelea swimming pool. Hongera kijana kwa kuwa na umri mkubwa hivi sasa, una kumbukumbu pevuKipindi hiko miaka ya miaka ya 2002-2003 huyu dada alitamba na kibao chake Cha songa mbele.
Kipindi hiko chuchu sound kwa Sasa ni marehemu aliufanya mziki kuwa tofauti...
Dah!we mdada upo...?Wakati huo wimbo unatoka nilikuwa mtoto mdogo nilikuwa naupenda naimba kwa sauti ya juu nikifurahia muziki mzuri, hivi sasa naimba kwa sauti ya chini nikitafakari ujumbe.
Juu ya yote hayo wimbo huo utabaki kuwa bora kwangu wakati wote, wimbo unaoishi.
Mbona huu Uzi umeanzishwa wiki kadhaa zilizopita kwann uanzishe tenaKipindi hiko miaka ya miaka ya 2002-2003 huyu dada alitamba na kibao chake Cha songa mbele.
Kipindi hiko chuchu sound kwa Sasa ni marehemu aliufanya mziki kuwa tofauti.
Video yake kama basata ndio ingekuwa enzi hizo wangefungia maana huyu dada pigo zake zilikuwa kama za ulaya.
Maisha Yana kwenda kasi