Msanii Tekno akamatwa Nigeria

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
94
Reaction score
238
Tekno amekamatwa na Polisi baada ya picha na video kusambaa mtandaoni akisakata densi barabarani mjini Lagos akiwa na umati wa wanawake waliokuwa nusi uchi.

Kukamatwa huku kunakuja saa chache baada ya msanii huyo kuomba radhi mashabiki zake kupitia akaunti zake za kijamii.
 

Attachments

  • IMG_20190807_093951.jpg
    26 KB · Views: 43
Hao madikteta uchwara wa Nigeria badala wahangaike na umasikini wa watu wao, wameamua kujikita na video za papuchi!

Bure kabisa!
 
picha ziko wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?..........
 
bila iyo video bado taarifa haijakamilika
 
Mkuu,, yaani haujatufikisha kabsaaaa,,,, Bora usingeleta huu Uzi,,,, Uzi bila picha is nothing,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…