watu wasaliti sanalile tamasha la arusha lilikua kwa ajili ya kukusanya pesa za kumpeleka india. anatakiwa apate m 28. so wasanii wenzake wa bongo movie wakakubali wawe wanazunguka naye mikoani ili apate hela. Cha ajabu arusha wasanii wa bongo movie walimgeuka. yeye alipanga kufanya show jumapili lakini wasanii wa bongo movie wakaenda kufanya show jmos bila yeye kujua kitu kilicho mchanganya. uzuri wasanii wa mziki wa arusha waliamua kumpa kampani jumapili na hela yote kumpa yeye. so alipanda jukwaani akiwa amezidiwa. mia
lile tamasha la arusha lilikua kwa ajili ya kukusanya pesa za kumpeleka india. anatakiwa apate m 28. so wasanii wenzake wa bongo movie wakakubali wawe wanazunguka naye mikoani ili apate hela.
Cha ajabu arusha wasanii wa bongo movie walimgeuka. yeye alipanga kufanya show jumapili lakini wasanii wa bongo movie wakaenda kufanya show jmos bila yeye kujua kitu kilicho mchanganya. uzuri wasanii wa mziki wa arusha waliamua kumpa kampani jumapili na hela yote kumpa yeye. so alipanda jukwaani akiwa amezidiwa. mia

duh,Mungu amsaidie apate nafuuSajuki kwa sasa kalazwa Hospitali ya Muhimbili Mwaisela 1, hali yake ni mbaya sana na anapumulia mashine...