The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,871
- 124,016
Bila maoni ya BICHWA KOMWE - huu Uzi ni batili.
Simjui, na huyu simjui, hao waruke siwajui ongeza kreti😂😂😂😂😂😂😂 Unataka kusema Fundi manyumba na nyamwili ni ........😂😂😂
😂😂😂😂 Ijumaa KaremSimjui, na huyu simjui, hao waruke siwajui ongeza kreti
Tenaa sana Kwa kutumia dildo za size tofauti tofauti 😅😅😅Ila nyeto kapiga
Na wee unazo mkuu 😂, labda kajikana tu mbona ma sister wanawezaTenaa sana Kwa kutumia dildo za size tofauti tofauti 😅😅😅
Ila una zambi wewee🏃
Error requestAilete tujiridhishe mabaharia
Likewise brother 🤝😂😂😂😂 Ijumaa Karem
Hapana sister tupo wengi tu tumekomaa kifikra tunaelewa thamani yenu indeed, take yo flowers 🎋🎋Unaongea kitu positive kuhusu wanawake JF, sorry Mleta mada hautapata traffic.
Most of wanaume wa humu wanadhani 24/7 tumechanua miguu! 🤣
[emoji1787]Hakuna Cha ajabu,inawezekana.
Mi nlienda Hadi miaka 6.
Na bado naweza endelea
Ila kuna wakati kichwa kinakuwa kizito na ubovu wa kumbukumbu
[emoji1787]Bila maoni ya BICHWA KOMWE - huu Uzi ni batili.
[emoji7]Unaongea kitu positive kuhusu wanawake JF, sorry Mleta mada hautapata traffic.
Most of wanaume wa humu wanadhani 24/7 tumechanua miguu! [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]Ila nyeto kapiga
Ukigusa sasa ivi urakuta ya moto balaaView attachment 3082632
Heshima yenu wakuu,
Summary:
Msanii Mya (44 yrs) kafunguka hivi karibuni kwamba amekaa kwa miaka saba bila kufanya mapenzi, akihojiwa na Angela Yee msanii huyo wa RnB/Pop alifunguka hivi karibuni baada ya kua gumzo(viral) mitandaoni na watu wengi kushangaa kitendo hiko.
Sababu alizotoa kufanya uamuzi huo ni za kiroho (spiritual) na pia anasema ameacha kutumia pombe, safari yake ya celibacy alianza kuacha matumizi ya wine kwanza kwani alikua anapenda sana hapo awali.
Msanii huyu amewahi kukimbiza na nyimbo kama Case of the Ex, Ghetto Superstar, na My love is like Wo.
My Take :
Huyu dada tangu nakua anakimbiza kima kitambo sana.. 1 of the baddest, natural beauty iko pale na ame age gracefully.
Nimeheshimu sana uamuzi wake kama navoheshimu maamuzi ya kila mtu na kuna kitu nimebaini, binafsi mwanamke yoyote aliekaa zaidi ya miaka miwili au ata mmoja naona kama amekua mpya.
Nakinzana na nadharia potofu ya mwanamke kua used yani katumika sana imradi kajipa likizo ya zaidi ya mwaka mahusiano ya mwisho. Hiyo nadharia ntaikubali pale tu mwanamke ana mahusiano mengi kwa wakati mmoja na kubadili wapenzi ndani ya muda mfupi yani ukitoka kwa huyu wiki ijayo kwa huyo.
Ishu ya kuita mwanamke yoyote used kisa kapitia mahusiano binafsi naona batili kwa mtu kama Mya maana siku akifanya..patner wake itabidi amhandle with care sio kuparamia njia itakuaje sijui.
Kwahiyo maoni yangu ni tutenganishe viruka njia na masister walioji weka mbali na mahusiano kwa sababu zao mbali mbali kama huyu.
Muimbaji Omarion kanukuliwa pia akisema kakaa miaka mitatu bila kufanya mapenzi.
Hakika mkuuUkigusa sasa ivi urakuta ya moto balaa