Na muda wa kuanza show uwe unaoneshwa kwenye mkataba, hawa watoto makuzi kweli kweli, juzi kati hapa tulikuwa na Mwanamuziki mmoja wa Live band, basi kwa sababu bia tunanunuwa sisi yeye hata hakujari mashabiki wameandikiwa rhumba linaanza saa ngapi, alichojari yeye ni ile mipombe tunayoagiza mpaka nikamfukuza aende kwenye show yao.