Msanii matonya awekwa kizimbani kituo cha polis Songea mjini

ligendayika

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,183
198
Katika mazingira ya kutatanisha msanii wa muziki wa kizazi kipya kwa jina maarufu matonya aliwekwa ndani ktk kituo cha polis mjini songea kwa kosa la kutofanya onyesho kamaalivyoingia mktaba na Jambolee night club ya songea baada ya kushindwa kufanya show kama mkataba wake na jambolee ulivyotaka. Hata hivyo hakuweza kufkishwa mahakamani baada ya kukubaliana na uongozi wa Jambolee night clubu. Msanii huyo ilibidi afanye onyesho jumapili tarehe 09/06/2013 ukumbi huo wa Jambolee Night Club.
 
Kuvunja mkataba alafu mtu yupo polisi?labda shtaka aliofunguliwa ni zenye asili ya udanganyifu
 
hiyo ni mchakato katika maisha watu kutofautiana ni mambo ya kawaida tatizo wasanii wa kibongo nao wengine hawako makini na kazi yao.
 
Itakua show imeandaliwa na clouds wakataka mminya kwenye kulipa ndo akagoma kutoa show!chezea clauds wewe!redio ya wafu
 
Tatizo they don't run music as business....ndo maana muda si mrefu wanafulia
 
Katika mazingira ya kutatanisha msanii wa muziki wa kizazi kipya kwa jina maarufu matonya aliwekwa ndani ktk kituo cha polis mjini songea kwa kosa la kutofanya onyesho kamaalivyoingia mktaba na Jambolee night club ya songea baada ya kushindwa kufanya show kama mkataba wake na jambolee ulivyotaka. Hata hivyo hakuweza kufkishwa mahakamani baada ya kukubaliana na uongozi wa Jambolee night clubu. Msanii huyo ilibidi afanye onyesho jumapili tarehe 09/06/2013 ukumbi huo wa Jambolee Night Club.

Hizo zilipendwaaa...
 
Na muda wa kuanza show uwe unaoneshwa kwenye mkataba, hawa watoto makuzi kweli kweli, juzi kati hapa tulikuwa na Mwanamuziki mmoja wa Live band, basi kwa sababu bia tunanunuwa sisi yeye hata hakujari mashabiki wameandikiwa rhumba linaanza saa ngapi, alichojari yeye ni ile mipombe tunayoagiza mpaka nikamfukuza aende kwenye show yao.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom