ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 198
Katika mazingira ya kutatanisha msanii wa muziki wa kizazi kipya kwa jina maarufu matonya aliwekwa ndani ktk kituo cha polis mjini songea kwa kosa la kutofanya onyesho kamaalivyoingia mktaba na Jambolee night club ya songea baada ya kushindwa kufanya show kama mkataba wake na jambolee ulivyotaka. Hata hivyo hakuweza kufkishwa mahakamani baada ya kukubaliana na uongozi wa Jambolee night clubu. Msanii huyo ilibidi afanye onyesho jumapili tarehe 09/06/2013 ukumbi huo wa Jambolee Night Club.